Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

Huyu jamaa ameanza uzi kwa speed post za kutosha, Sasa hivi ameshajua uzi unawafuatiliaji wa kutosha anakuja kusoma comments nakusepa anasubiri tumbembeleze ndio apost , hivi unaanzishaje uzi Kama unajua una mambo mengi ??? Mazafantazzzz
Ameshapigwa biti inbox kuwa asiendeleze huu uzi la sivyo usalama wake utakua mashakani. Usiichezee JF.
 
Labda nitakuwa nimeelewa tofauti na wewe.. Ila chanzo cha yeye kufikia huko ni kupoteza wazazi wote na kubaki kwenye mazingira magumu.

Nilicho jifunza ni kuweka mazingira sawa kwa watoto ukiwa hai.. ndugu sio kwakweli hasa ukiwa unajiweza na wao wakiwa na maisha ya kawaida
Ila kuondokewa na wazazi c ndo guarantee ya kufanya maovu ili kujikwamua...ni wangapi wameondokewa na wazazi wao ila wamefanya shughuli halali na kujikwamua?kwa maana hyo anataka kufundisha jamii inayotuzunguka kwamba ukizaliwa na ikatokea bahat mbayaa ukaondokewa na wazazi njia nzur ya kufikia malengo ni kujihusisha na uhalifu?
 
Kuelekea wapi mkuu.
Hili daraja niliwahi shuhudia ajali mbaya mnoo.
Magari 6 yaligongana...yale mafusso ya abiria ya Moshi Arusha lilining'inia darajani na abiria wanadindokea mtoni kama maembe na wanapasuka vichwa kwenye mawe ya mtoni
Kumbe hii ajali uliishudia mkuu yaani ilikuwa hatari sana, na mimi nilikuwa ndani ya lile basi lililoning'iningia darajani nashukuru nilitoka salama kabisa na begi langu nililikuta pale chini lami so na sikupoteza chochote pia
 
Ila kuondokewa na wazazi c ndo guarantee ya kufanya maovu ili kujikwamua...ni wangapi wameondokewa na wazazi wao ila wamefanya shughuli halali na kujikwamua?kwa maana hyo anataka kufundisha jamii inayotuzunguka kwamba ukizaliwa na ikatokea bahat mbayaa ukaondokewa na wazazi njia nzur ya kufikia malengo ni kujihusisha na uhalifu?
Inabidi uoneshe hao wengine walifanikiwa vipi.
 
Back
Top Bottom