Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niunganishe na Mimi walinipiga mziki wa gari na tvIngawa UZI mtamu ila wezi sio watu. Wamenibebea laptop yangu jana. Manina zao lazima niroge mtu kwa Mara ya kwanza. Wacha nibebe dhambi kidogo ntatubu baadae.... [emoji2962]
Ameshapigwa biti inbox kuwa asiendeleze huu uzi la sivyo usalama wake utakua mashakani. Usiichezee JF.Huyu jamaa ameanza uzi kwa speed post za kutosha, Sasa hivi ameshajua uzi unawafuatiliaji wa kutosha anakuja kusoma comments nakusepa anasubiri tumbembeleze ndio apost , hivi unaanzishaje uzi Kama unajua una mambo mengi ??? Mazafantazzzz
Ila kuondokewa na wazazi c ndo guarantee ya kufanya maovu ili kujikwamua...ni wangapi wameondokewa na wazazi wao ila wamefanya shughuli halali na kujikwamua?kwa maana hyo anataka kufundisha jamii inayotuzunguka kwamba ukizaliwa na ikatokea bahat mbayaa ukaondokewa na wazazi njia nzur ya kufikia malengo ni kujihusisha na uhalifu?Labda nitakuwa nimeelewa tofauti na wewe.. Ila chanzo cha yeye kufikia huko ni kupoteza wazazi wote na kubaki kwenye mazingira magumu.
Nilicho jifunza ni kuweka mazingira sawa kwa watoto ukiwa hai.. ndugu sio kwakweli hasa ukiwa unajiweza na wao wakiwa na maisha ya kawaida
Hapa kidogo panitoe roho. Kuna ajali ya coaster ilitokea 2019, na watu 19 walifia hapo hapo ila kwa rehema za Mungu nilitoka salama tena bila kuumia popote labda tu nilipata mchubuko kidogo tu mguuni
Kumbe hii ajali uliishudia mkuu yaani ilikuwa hatari sana, na mimi nilikuwa ndani ya lile basi lililoning'iningia darajani nashukuru nilitoka salama kabisa na begi langu nililikuta pale chini lami so na sikupoteza chochote piaKuelekea wapi mkuu.
Hili daraja niliwahi shuhudia ajali mbaya mnoo.
Magari 6 yaligongana...yale mafusso ya abiria ya Moshi Arusha lilining'inia darajani na abiria wanadindokea mtoni kama maembe na wanapasuka vichwa kwenye mawe ya mtoni
Ni ile coastee iliyogongwa na gari ya cocacola?Hapa kidogo panitoe roho. Kuna ajali ya coaster ilitokea 2019, na watu 19 walifia hapo hapo ila kwa rehema za Mungu nilitoka salama tena bila kuumia popote labda tu nilipata mchubuko kidogo tu mguuni
Mkuu ulitokea mlangoni au ulidondokea kwa nyuma?Kumbe hii ajali uliishudia mkuu yaani ilikuwa hatari sana, na mimi nilikuwa ndani ya lile basi lililoning'iningia darajani nashukuru nilitoka salama kabisa na begi langu nililikuta pale chini lami so na sikupoteza chochote pia
Inabidi uoneshe hao wengine walifanikiwa vipi.Ila kuondokewa na wazazi c ndo guarantee ya kufanya maovu ili kujikwamua...ni wangapi wameondokewa na wazazi wao ila wamefanya shughuli halali na kujikwamua?kwa maana hyo anataka kufundisha jamii inayotuzunguka kwamba ukizaliwa na ikatokea bahat mbayaa ukaondokewa na wazazi njia nzur ya kufikia malengo ni kujihusisha na uhalifu?
[emoji23]Pole nasubiri majibu ya babu ntakupa mrejeshoNiunganishe na Mimi walinipiga mzikinwa gari na tv
Kwa hyo unataka nilazimishe kwamba walifanikiwa kwa wizi?Inabidi uoneshe hao wengine walifanikiwa vipi.
Kama sio kweli aje kujibu hapaSio kweli acha kuwadanganya watu.