Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

Hyo Avatar hizo mboga hapo waarusha wanaipendaa..bado inaota kwny maji maji tuu eee...
Hapo ni mtoni...nilikaaa mahali nautafakari ukuu wa Mungu...na lile andiko lisemalo...wanaomtumaini Mungu hulinganishwa na miti/mimea iliyopandwa kando ya maji ambayo husitawi majira yote na huzaa matunda kwa majira yakeπŸ˜‚
 
Hakikaa.. Huo mto kama mto themi..hivi ndo unaitwa hivyo..nimesahau long tym..ila hzo mboga ni maarufu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…