Umepasau Ng'ambo kule karibu na hospital ya kitete ya mkoa Nako Kuna wahuni miaka nenda Rudi na walevi wa pombe za kienyeji na gongo kama zote kule Nako watu wamepinda,bila kusahau wahuni wa mitaa ya chemchem,mihogoni na mwanza road.Isevya, kiloleni mitaa ya hovyo, uhuni na kimafia sana kwa mji wa Tabora.
Juzi nilikuwa maeneo ya kiloleni, napewa story za miaka mingi hadi sasa. Sasa hivi vijana wahalifu wamezua mtindo wa ajabu sana. Wanapokuwa na chuki na mtu, wanaenda polisi kureport na kupewa RB-kwa mashtaka ya kubuni kabisa- kisha wanamsaka mtaani na kumpiga sana kisha ndio wanampeleka polisi.
Ingawa ukilinganisha na miaka ya 90 to 2010 hali imetulia kiasi.
Polisi wakimchoka muhalifu wanamalizana naye. Mwaka 2016 nilikuja hapa tabora, kuna kijana mmoja alikuwa akiitwa duni alikuwa mwizi msumbufu sana. Nimesikia ameuawa. Alipigwa risasi ya tako na kufumua mapumbu. Ujambazi haufai.
Naomba unitag mkuu
We Utajua mwenyewe si tuna enjoyHapa umedanganya, huwezi toka longido kwenda kiserian, kwa njia ipi? Ndo kwanza ya east africa imejengwa juzi, halafu unatokeaje mateves? Labda kama ungepita ngaramtoni ya juu