Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

Mbona uzi umepoa Sanaa Leo Kama uke wa mjane, hakuna muendelezo
 
Yaan we ni firauni kabisa yaan emu endelea kwanza kenge we umekula mke wa jamaa jamaa anakulisha na Kodi anakulipia yaan anavuja jasho kwa ajili yako na kwa ajili ya mkewe alafu unamletea ufirauni km huo wewe kweli Poker
Wewe jamaa umeandika kwa hisia polee sana,[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kama uliyaweza maisha ya kigoma-kasulu-kibondo basi wew ni kiboko popote unaishi

Mkeo umemchalanga na mapanga lakin wewe unaenda kula vya wenzio

Matukio yote hayo lakin polisi hukuwah kulala,ulikuwa na nyota ya ajabu sana
Kinachombeba ni nyota aiseee[emoji2][emoji2]
 
Kuna watu humu ukiandika kitu hot...wanakufata inbox kukuonya, baadae wanakutisha kabisa...

Sielewagi dhumuni lao huwa nini? ...wanataka humu pawe pamepoa tu
Kuna jamaa kwenye ule uzi wa rikiboy wa kula kimasihara alimtafuna kichaa baada ya lile tukio hakuwahi kumuona tena yule kicha,aliposimulia ile story hapa alifuatwa PM akaambiwa futa haraka sana hujipendi
 
Huyu jamaa ni genius sema mazingira yamemuaribu. Huyu sio yeye. Yeye ni yule aliyetaka kuwa boss mkubwa ila huyu ni yule aliyenyang'anywa uhalisia wake na babamkubwa wake. Ndio maana mimi nikimkamata kibaka ni ngumu kumpiga aisee. Ukiweza kaa nae chini umuulize nini kimemsibu. Kisa cha huyu kamanda ni shule tosha kwa wenye akili. Ukiwa na hela jichanganye sana kujua wenzetu wanafanyaje huko duniani. Kuna taasisi ziko huko duniani unaweza kuingia nao mkataba na ukaweka baadhi ya hela zako ikitokea hauko watoto watasoma na wakifanikiwa kumaliza watakuta Salio. Usimuamin ndugu abadani.
 
Naam, japo nawaza hawakuwahi kuwa karibu hata na ndugu upande wa mama?? Maana naonaga huwa wanaupendo Sana endapo ukiwa haupo
 
Good morning brothers and sisters [emoji112]
Sehemu ya 8

Tulienda Njiro na kuangaza maeneo hayo, tukashuka mpaka contena na kwenda kutia nanga makaburini kule Njiro.

Huko tulishtua kwanza bangi maana vichwa tulihisi vimechoka sana na kujiboost kidogo na ugoro maana kipindi hicho kuberi ilikuwa imeanza kupigwa vita sana kuwa inaleta kansa n.k. Tulivuta mpaka usingizi ukatuijia tukalala pale pale makaburini. Kuja kushtuka mida ishaenda sana.

Tukaondoka na kwenda Philips hapo tulikutana mr x ambaye alitupa zana za kazi na gari moja kwa ajili ya tukio. Na dereva pia alitupatia wa kwake ili tusije tukamgeuka.

Hapo hatukuonana na mdosi zaidi ya mpambe wake Mr x. Alfajiri mapema kabla hata adhana haijalia tuliamua kwenda
Huu ndio uduanzi!! Ngozi nyeusi inajilaani yenyewe!
 
Back
Top Bottom