Mkuu Vipi Bwana Jambazi Rudi Tumekumiss
Atakutoa hela zako ndio ujue kuwa umemmisi ,huyu Ni mwanaume aliyetakiwa kuzaliwa enzi zile kabila zinanyang'anya ng'ombe. Mfano jamii yangu miaka ya huko nyuma ilikuwa Ni ufahari kwenda kwenye kabila nyingine na kuchukua Mali zao kiubabe na kuzileta kwenye jamii yako so inaonekana wewe Ni wa faida. Yaani mtu anasisima kwenye mkutano wa kijijini wanatajana wezi anasema ndugu zangu mie Ni mwizi Ila siibi hapa nyumbani na import Mali toka nje.
Yaani huyu jamaa Basi Kama Ni yeye naye Ni mwanaume katika wanaume sema environment haijambeba vizuri. Huyu alitakiwa awe trained awe USA army Tena anaenda huko kwenye mission za maana akitoka huko anakutana na mabulungutu mpaka anachoka ama ana trained Kama Mayweather Floyd.
Ama anakuwa Kama akina Pablo ecobar ,Kuna muuzaji wa drugs mmoja wa Jamaica mpaka alirudishwa kwao na USA police,akarudiko Tena pamoja na kufungiwa passport yake.
Siku hizi watu wanaibiana kwa kalamu,viongozi wanawala wananchi wao walioamini kuwoangoza. Yaani kila mtu Ni mwizi kwa nafasi aliyopo Ni wachache watakatifu. Walimu wanachangisha ream paper kila mwaka utadhani Kama mtt anafanya pepa mpaka zote 500 zinaisha. Mara michango ya kuajiri walimu wa kujitolea kwa f2/4 ilimradi wapatapo chao Mana tamaa haina mwisho.
Yaani huniambii kitu,fundi anaona sementi,oparator or dereva anaiba mafuta,fundi gereji anakuibia spea nzima kwa gari yako anakuchomokea mbovu ukirudi anakuuzia iyo iyo.
Yaani Ni wizi tupu dunia imechafuka mno.
Malaya mnaelewana wakati unamnanihii anakusachi mfukoni.