Uchaguzi 2020 Kutoka Lindi: Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo

Chadema wenyewe lazima wataje CCM na Magufuli vinginevyo mikutano yao inadoda.CCM na Magufuli ndio habari ya mjini
Ccm inavyotajwa na CDM ni tofauti sana na inavyoongelewa hapa kwenye mkutano wa ACT.
Tofauti kabisaaa.
Kwenye mkutano wa chadema ikitajwa ccm basi lumumba ni maumivu.ila kwa hapa hawa ACT wanavyowataja nawaona mnavyochekeleaa
 
Nimeangalia TBC ni aibu .Uzinduzi heri wangefanyia hata mwandiga kigoma Kuna watu kuliko Lindi kwa Membe

Yale mahudhurio ni kituko yameshusha CV ya Membe
Bwege kawasha moto mpaka TBC wakaamua kumute ......!!
 
Hata kama wasipowafukuza lakini angalau wao act tunawapata kuliko cdm kujifanya wajuaji wakati hata online yao imewashinda kurusha live.
mtaji wa siasa ni watu hao TBC hata kama watu wakijaa hawaonyeshi, so what? CDM ukiwafuatilia angalau utapata updates ambazo zinaonyesha ukweli kuliko unaenda kwenye function halafu huonyeshi matukio ya muhimu na ya kuvutia watu.
 
Bwege kawasha moto mpaka TBC wakaamua kumute ......!!
Kwa hiyo CCM na Magufuli wako wameandikwa kwenye ilani yao ya chama? Leo wanasema wanazindua ilani kea hiyo CCM na Magufuli ndio ilani yao ?

Upinzani stick kwenye agenda ukitangazia watu unazindua ilani zindua ilani usilete Bwege aongee
 
Kwa hiyo CCM na Magufuli wako wameandikwa kwenye ilani yao ya chama? Leo wanasema wanazindua ilani kea hiyo CCM na Magufuli ndio ilani yao ?
Bwege hakumtaja Magufuli wala CCM .... lakini kamwaga cheche mpaka TBC wakaamua kuzima sauti ......!!
 
Viongozi wa kitaifa wa Act wazalendo wakiwasili uwanja wa ndege wa lindi.View attachment 1555537View attachment 1555538View attachment 1555539View attachment 1555541View attachment 1555540View attachment 1555542View attachment 1555543
00000PORTRAIT_00000_BURST20200901134016197.jpg
 
Bwege hakumtaja Magufuli wala CCM .... lakini kamwaga cheche mpaka TBC wakaamua kuzima sauti ......!!
Ila huyu mgombea mwenza hopeless kabisa, hawezi hutubia watu wakashawishika Kumpa kura.
 
mtaji wa siasa ni watu hao TBC hata kama watu wakijaa hawaonyeshi, so what? CDM ukiwafuatilia angalau utapata updates ambazo zinaonyesha ukweli kuliko unaenda kwenye function halafu huonyeshi matukio ya muhimu na ya kuvutia watu.
Unajua kua kwenye mkutano wa Act wazalendo TBC wapo live tbc1 na TBC taifa?. Hiyo coverage unaiongeleaje huko vijijini?. Je haina impact kwa chadema na ccm hata kama matangazo Wanakatakata?.

Leo lissu yupo mwanza. Ni kweli watu walikua wengi sana na naamini ccm wakija watu watakua wengi sana pengine kuzidi hata hao. Ccm wakija vyombo vya habari vitakuwa live na watawafikia watu wengi sana mawilayani. Je lissu atawafikiaje huko vijijini?.
 
Nyie kama mmeridhika na Picha zinavyoonyesha basi endeleeni-
 
Kuna comment jana nilikuwa nimeiandika humu , naona leo Bwana Membe ameitumia kwenye kampeni zake leo.
 
Kwani watu wanapiga kura kwa kuangalia vyombo vya habari na si wagombea wenyewe kwenda vijijini?

Back
Top Bottom