YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
SEMA kwenye nyumba yako ya Ibada mnakosali wewe na Chadema wenzio ndio mnamtaja Sana shetani sisi CCM tinakosali shetani huwa hatajwi ibadani sababu ni mbaya na Biblia inasema ubaya usitajwe kwenu.Ibadani sisi humtaja Mungu tu.Mkuu hata shetani anatajwa sana kwenye nyumba za ibada, ila ni in a negative way. Ndio maana shetani akitajwa tu TBC wanakata matangazo.
Huwezi sikia shetani akitajwa mdomoni mwa mtu