Uchaguzi 2020 Kutoka Lindi: Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo

Uchaguzi 2020 Kutoka Lindi: Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo

Mkuu hata shetani anatajwa sana kwenye nyumba za ibada, ila ni in a negative way. Ndio maana shetani akitajwa tu TBC wanakata matangazo.
SEMA kwenye nyumba yako ya Ibada mnakosali wewe na Chadema wenzio ndio mnamtaja Sana shetani sisi CCM tinakosali shetani huwa hatajwi ibadani sababu ni mbaya na Biblia inasema ubaya usitajwe kwenu.Ibadani sisi humtaja Mungu tu.

Huwezi sikia shetani akitajwa mdomoni mwa mtu
 
Mkuu hata shetani anatajwa sana kwenye nyumba za ibada, ila ni in a negative way. Ndio maana shetani akitajwa tu TBC wanakata matangazo.
Thus cdm waliwafukuza bwege alipokuwa akimwaga mistari wakakata sauti
 
SEMA kwenye nyumba yako ya Ibada mnakosali wewe na Chadema wenzio ndio mnamtaja Sana shetani sisi CCM tinakosali shetani huwa hatajwi ibadani sababu ni mbaya na Biblia inasema ubaya usitajwe kwenu.Ibadani sisi humtaja Mungu tu
Huwezi sikia shetani akitajwa mdomoni mwa mtu

Huko unakosali sio nyumba za ibada, bali ni kwenye zile nyumba zenu za utekaji na kina bashite.
 
..nenda moja kwa moja dakika 20.24.

..Chaurembo anaghani, "mishe-mishe kila kona. Magufuli amekwama. Hawezi kunusurika."

Ughani wa Chaurembo:

" Nii mwaka, Ni mwaka wa mashujaaa,

Wala msiwe na shaka.

Bernard Membe kifaa,

ACT kakubalika,

Mishe-mishe,

Mishe-mishe kila kona,

Nchi sasa, Nchi inatikisika,

Magufuli, Magufuli amekwamaa,

Hawezi, hawezi kunusurika. "

..kuna mtu atafukuzwa kazi leo TBC, kwa kumuacha Chaurembo atambe kwa dakika 2.
 
Nataka arushe picha zitto na abdul Nondo ndio nitaamini wengine wote mtatuhujumu tunajua ufipa hamtupendi ndio maana mkaweka mapingamizi ubungo!
Kuna mtu kanirushia picha:
Screenshot_20200901-215656.jpg
 
Membe ni mwepesi na bahati mbaya hotuba yake inaonyesha ana bifu na JPM.

Kaongea kwa kujiwakilisha yeye kama mtu anayefaa zaidi kuliko rais wa sasa badala ya kuongea kama mtu anayeshawishi watu kwamba anafaa hata bila ya kuwepo mshindani mwingine kisiasa.

Ni wale wale wenye kupenda sifa za kuwa mwanadiplomasia mwenye kujikomba kwa wazungu.
 
Nimeangalia TBC ni aibu .Uzinduzi heri wangefanyia hata mwandiga kigoma Kuna watu kuliko Lindi kwa Membe

Yale mahudhurio ni kituko yameshusha CV ya Membe
Baada ya hapo wanaenda Mwandiga
 
Hata uzi umekosa watu, Nikishasema toka mwanzo Membe ni kama shati ndani ya koti la ccm
 
Membe ni mwepesi na bahati mbaya hotuba yake inaonyesha ana bifu na JPM.

Kaongea kwa kujiwakilisha yeye kama mtu anayefaa zaidi kuliko rais wa sasa badala ya kuongea kama mtu anayeshawishi watu kwamba anafaa hata bila ya kuwepo mshindani mwingine kisiasa.

Ni wale wale wenye kupenda sifa za kuwa mwanadiplomasia mwenye kujikomba kwa wazungu.
huna hoja
 
Hili ndio Nyomi la Uzinduzi wa Mampezi za Kitaifa za Urais za Chama cha ACT Wazalendo.

Na naambiwa kuna Changamoto za Malipo ya Jukwaa mpaka sasa kwamba Jukwaa halijalipiwa sasa sijui Kweli [emoji2305] aaah[emoji23]

Vipi wazee!
wataweza Mziki wa CCM hawa ACT?

View attachment 1555458
View attachment 1555459
View attachment 1555460
View attachment 1555461
View attachment 1555462
View attachment 1555463
View attachment 1555464
View attachment 1555465
View attachment 1555466
2505250_IMG-20200901-WA0040.jpg
2505248_IMG-20200901-WA0042.jpg
2505250_IMG-20200901-WA0040.jpg
 
ACT walisema kuwa nafasi ya mgombea urais wataungana na cdm ili awe ni mmoja. Imekuwaje sasa.

Hizi nchi zetu bado sana.
 
Hayo aliyesema wakati wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi 2020 za ACT. Amesema atajenga barabara za lami kuunganisha vijiji vya kusini kwakuwa Marais waliopita waliisahau kusini. Na hiyo ndiyo sababu iliyomfanya agombee urais.
 
Back
Top Bottom