Kutoka Mahakamani: John Pambalu ashtakiwa kwa UHAINI

John Justine Pambalu anakabiliwa na tuhuma za uhaini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, kwa mujibu wa hati ya mashtaka ya mwaka 2026.

Hati hiyo inaeleza kuwa Pambalu anadaiwa kutenda kosa hilo katika tarehe mbalimbali kati ya Septemba 1 na Oktoba 29, 2025, katika maeneo tofauti ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa hati hiyo, Pambalu anadaiwa kuwa na nia ya kuushawishi umma kusababisha vikwazo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, huku akidaiwa kuonyesha nia hiyo kwa kufanya maandamano yasiyoisha katika maeneo mbalimbali nchini.

Hati ya mashtaka inaeleza kuwa vitendo hivyo vinadaiwa kuwa na lengo la kuitisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Tuhuma hizo zinatajwa chini ya Kifungu cha 39(2)(d) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16, Toleo la 2023.

Hati hiyo imeandaliwa na kusainiwa na Wakili wa Serikali jijini Dar es Salaam, Oktoba 21, 2026.

Hata hivyo, hati ya mashtaka inaeleza tuhuma dhidi ya Pambalu na si uthibitisho kwamba amepatikana na hatia.

JOHN JUSTINE PAMBALU, katika tarehe mbalimbali kati ya tarehe 1 Septemba 2025 na tarehe 29 Oktoba 2025 katika maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam, katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa mtu aliye chini ya utii kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alikula njama ya kushawishi umma kuzuia Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba 2025 na alidhihirisha nia hiyo kwa vitendo, yaani, kwa kuendesha maandamano yasiyokoma kote katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa lengo la kutishia Serikali (Mhimili wa Utendaji) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Imetolewa Dar es Salaam tarehe 31 mwezi Oktoba 2026.

Soma Pia: Pambalu wa CHADEMA atuhumiwa kwa ugaidi
View attachment 3695467
Nothing new kwa Tanzania ya sasa
 
Pambalu amejipambanua kuwa mpinzani wa kweli ndio maana CCM wameamua kumpa kesi ya uhaini ili kumtuliza.

Namkubali sana, anajielewa anajua namna ya kufanya siasa, bahati mbaya kwake hakuna support ya vitendo toka kwa wafuasi wa chama chao.

Support zote zinaishia mitandaoni tu.
 
Wenzetu wanawaza kuboresha Technology kuweza kuifikia sayari ya Mars na kuweza kuishi huko sisi huku viongozi anawaza amfunge mpinzani et kisa anamkosoa. Sasa unajiuliza kama mtu hutaki kukosolewa si ujifanyie kazi zako huko, uliomba kazi ya uongozi wa watu ili iweje? Ujinga ni mwingi sana Tz
Waafrika karibu wote tulilaaniwa ndugu, sisi ni mijinga na mipumbavu sana
 
Serikali ya CCM imemshtaki
@John_Pambalu
kwa makosa ya UHAINI. Hati ya mashtaka inaeleza alitenda makosa hayo kati ya 1 September 2025 hadi 29 Oktoba 2025 kwa kuunda nia ya kuwashawishi wananchi kwa [kuhamasisha] maandamano [yasiyo na kikomo] kwa lengo la kuitisha Serikali.
============

Ndio mjue these people are serious, hawajutii mauaji waliyofanya, lakini mwisho wa CCM upo karibu sana kuna siku watajichanganya kidogo tu hawataamini macho yao, nani alijua 29/10 watu wangejitokeza kiasi kile.
 
Mithali 29:1.

“Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua
 
.
 
Attachments

  • Screenshot_20260514-220943~2.png
    Screenshot_20260514-220943~2.png
    600.8 KB · Views: 6
John Justine Pambalu anakabiliwa na tuhuma za uhaini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, kwa mujibu wa hati ya mashtaka ya mwaka 2026.

Hati hiyo inaeleza kuwa Pambalu anadaiwa kutenda kosa hilo katika tarehe mbalimbali kati ya Septemba 1 na Oktoba 29, 2025, katika maeneo tofauti ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa hati hiyo, Pambalu anadaiwa kuwa na nia ya kuushawishi umma kusababisha vikwazo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, huku akidaiwa kuonyesha nia hiyo kwa kufanya maandamano yasiyoisha katika maeneo mbalimbali nchini.

Hati ya mashtaka inaeleza kuwa vitendo hivyo vinadaiwa kuwa na lengo la kuitisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Tuhuma hizo zinatajwa chini ya Kifungu cha 39(2)(d) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16, Toleo la 2023.

Hati hiyo imeandaliwa na kusainiwa na Wakili wa Serikali jijini Dar es Salaam, Oktoba 21, 2026.

Hata hivyo, hati ya mashtaka inaeleza tuhuma dhidi ya Pambalu na si uthibitisho kwamba amepatikana na hatia.

JOHN JUSTINE PAMBALU, katika tarehe mbalimbali kati ya tarehe 1 Septemba 2025 na tarehe 29 Oktoba 2025 katika maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam, katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa mtu aliye chini ya utii kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alikula njama ya kushawishi umma kuzuia Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba 2025 na alidhihirisha nia hiyo kwa vitendo, yaani, kwa kuendesha maandamano yasiyokoma kote katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa lengo la kutishia Serikali (Mhimili wa Utendaji) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Imetolewa Dar es Salaam tarehe 31 mwezi Oktoba 2026.

Soma Pia: Pambalu wa CHADEMA atuhumiwa kwa ugaidi
View attachment 3695467
ok. :1Head:
 
Alafu kuna watu wanaimba Chadema haitaki maridhiano? Kwa namna hii nchi hii maridhiano ya kitaifa ni ngumu sana maana watawala wanazidi kutonesha watu vidonda.
 
John Justine Pambalu anakabiliwa na tuhuma za uhaini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, kwa mujibu wa hati ya mashtaka ya mwaka 2026.

Hati hiyo inaeleza kuwa Pambalu anadaiwa kutenda kosa hilo katika tarehe mbalimbali kati ya Septemba 1 na Oktoba 29, 2025, katika maeneo tofauti ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa hati hiyo, Pambalu anadaiwa kuwa na nia ya kuushawishi umma kusababisha vikwazo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, huku akidaiwa kuonyesha nia hiyo kwa kufanya maandamano yasiyoisha katika maeneo mbalimbali nchini.

Hati ya mashtaka inaeleza kuwa vitendo hivyo vinadaiwa kuwa na lengo la kuitisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Tuhuma hizo zinatajwa chini ya Kifungu cha 39(2)(d) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16, Toleo la 2023.

Hati hiyo imeandaliwa na kusainiwa na Wakili wa Serikali jijini Dar es Salaam, Oktoba 21, 2026.

Hata hivyo, hati ya mashtaka inaeleza tuhuma dhidi ya Pambalu na si uthibitisho kwamba amepatikana na hatia.

JOHN JUSTINE PAMBALU, katika tarehe mbalimbali kati ya tarehe 1 Septemba 2025 na tarehe 29 Oktoba 2025 katika maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam, katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa mtu aliye chini ya utii kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alikula njama ya kushawishi umma kuzuia Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba 2025 na alidhihirisha nia hiyo kwa vitendo, yaani, kwa kuendesha maandamano yasiyokoma kote katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa lengo la kutishia Serikali (Mhimili wa Utendaji) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Imetolewa Dar es Salaam tarehe 31 mwezi Oktoba 2026.

Soma Pia: Pambalu wa CHADEMA atuhumiwa kwa ugaidi
View attachment 3695467

Legal disputes surrounding where ordinary dissent ends and treasonous coercion begins focus on the threshold of systematic force, violence, or the unlawful overthrow of constitutional order.
While international legal standards heavily protect political speech and peaceful assembly, the boundary is crossed when actions transition from expressing opposition into actively subverting state organs.

Key Factors Defining the Legal Boundary
  • Political Rhetoric vs. Incitement: Harsh criticism of government policies, demanding leadership changes, or calling officials corrupt is protected speech in most constitutional democracies. Rhetoric crosses into sedition or treason when it transitions into a direct, imminent call to arms, violent insurrection, or the execution of state officials.
  • Election Boycotts vs. Coercion: Peacefully choosing not to participate in an election, or organizing public campaigns urging others to boycott the polls, is a legitimate form of political protest. However, if a group uses physical blockades, threats of violence, or armed intimidation to force citizens away from polling stations or physically prevent election officials from operating, it is treated as an unlawful attempt to dismantle democratic processes.
  • Public Protest vs. Treasonous Subversion: Mass demonstrations, civil disobedience, and strikes are protected exercises of assembly and speech, even if they cause economic disruption. The line into treason or insurrection is crossed when the objective shifts from protesting a policy to using force to physically seize government buildings, depose constitutional authorities, or install an unconstitutional regime.
 
Back
Top Bottom