Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 4,878
- 8,063
Niliposikia eti kale ka-binti sijui ka -NIFWA au NIFAA kamepewa kesi ya namna hiyo nikasema ni bora kuchagua ANDAZI.
John bravoHawa akina John wana nini maana ni kama wana mtazamo fulani wa kutokubali mambo kwenda isivyo
- John Pambalu
- John Heche
- John Magufuli
- John Mnyika
- Ongeza wengine
Kheeh, haya mambo ya udini yanapumbaza sana akili.Wagalatia wataishia mahakamani sana kwa uhaini na ugaidi nyakati hizi.
Ww ni zaidi ya makuWagalatia wataishia mahakamani sana kwa uhaini na ugaidi nyakati hizi.
Ila wale waliotangaza kura 31m za uongo wahashimiwe.Wote waliochochea oktoba 29 Dola iwaangukie ili yasijirudie
John Justine Pambalu anakabiliwa na tuhuma za uhaini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, kwa mujibu wa hati ya mashtaka ya mwaka 2026.
Hati hiyo inaeleza kuwa Pambalu anadaiwa kutenda kosa hilo katika tarehe mbalimbali kati ya Septemba 1 na Oktoba 29, 2025, katika maeneo tofauti ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa hati hiyo, Pambalu anadaiwa kuwa na nia ya kuushawishi umma kusababisha vikwazo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, huku akidaiwa kuonyesha nia hiyo kwa kufanya maandamano yasiyoisha katika maeneo mbalimbali nchini.
Hati ya mashtaka inaeleza kuwa vitendo hivyo vinadaiwa kuwa na lengo la kuitisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tuhuma hizo zinatajwa chini ya Kifungu cha 39(2)(d) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16, Toleo la 2023.
Hati hiyo imeandaliwa na kusainiwa na Wakili wa Serikali jijini Dar es Salaam, Oktoba 21, 2026.
Hata hivyo, hati ya mashtaka inaeleza tuhuma dhidi ya Pambalu na si uthibitisho kwamba amepatikana na hatia.
JOHN JUSTINE PAMBALU, katika tarehe mbalimbali kati ya tarehe 1 Septemba 2025 na tarehe 29 Oktoba 2025 katika maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam, katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa mtu aliye chini ya utii kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alikula njama ya kushawishi umma kuzuia Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba 2025 na alidhihirisha nia hiyo kwa vitendo, yaani, kwa kuendesha maandamano yasiyokoma kote katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa lengo la kutishia Serikali (Mhimili wa Utendaji) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Imetolewa Dar es Salaam tarehe 31 mwezi Oktoba 2026.
Soma Pia: Pambalu wa CHADEMA atuhumiwa kwa ugaidi
View attachment 3695467
Nili mfahamu John pambalu akiwa kijana mdogo akisoma secondary IHUNGO HIGH SCHOOL alikua akija nyumbani kwetu na mdogo angu walio kua wanasoma wotee kipindii hiko..Hawa akina John wana nini maana ni kama wana mtazamo fulani wa kutokubali mambo kwenda isivyo
- John Pambalu
- John Heche
- John Magufuli
- John Mnyika
- Ongeza wengine
Sasa Mkuu !Samia anatakiwa kuwa mstari wa mbele katika hao waliochochea; na kama hulijui hili wewe utakuwa akili umeificha mkunduni.
John NdejembiHawa akina John wana nini maana ni kama wana mtazamo fulani wa kutokubali mambo kwenda isivyo
- John Pambalu
- John Heche
- John Magufuli
- John Mnyika
- Ongeza wengine
rely on facts not assumptionsMahakama inatumika kuadhibu wapinzani.
Mahakama ndio chombo cha haki kamsaidieni kujitetea akishinda ataachiwa, kwann alikimbilia kenya na kimemrudisha nn tz?Tunaongozwa na wahuni ambao kila siku wanahangaika kutafuta mbinu za kuwaonea watu wote wanaoonekana kutaka nchi iwe inaongozwa kwa haki. Wahuni wanataka wafanye uovu wao, na kusiwepo wa kupanua mdomo wanapofanya udhulumati wao.
Mungu uturehemu, tunaomva ukasimame na wanaoipenda haki kwa sababu wewe ni Mungu wa haki, na kamwe shetani mdhulumu haki asipate ushindi kupitia mawakala wake. Shetani aendelee kuwahadaa, lakini siku moja wajutie kwa kupenda uovu.
serikali makini ipo kazini.John Justine Pambalu anakabiliwa na tuhuma za uhaini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, kwa mujibu wa hati ya mashtaka ya mwaka 2026.
Hati hiyo inaeleza kuwa Pambalu anadaiwa kutenda kosa hilo katika tarehe mbalimbali kati ya Septemba 1 na Oktoba 29, 2025, katika maeneo tofauti ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa hati hiyo, Pambalu anadaiwa kuwa na nia ya kuushawishi umma kusababisha vikwazo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, huku akidaiwa kuonyesha nia hiyo kwa kufanya maandamano yasiyoisha katika maeneo mbalimbali nchini.
Hati ya mashtaka inaeleza kuwa vitendo hivyo vinadaiwa kuwa na lengo la kuitisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tuhuma hizo zinatajwa chini ya Kifungu cha 39(2)(d) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16, Toleo la 2023.
Hati hiyo imeandaliwa na kusainiwa na Wakili wa Serikali jijini Dar es Salaam, Oktoba 21, 2026.
Hata hivyo, hati ya mashtaka inaeleza tuhuma dhidi ya Pambalu na si uthibitisho kwamba amepatikana na hatia.
JOHN JUSTINE PAMBALU, katika tarehe mbalimbali kati ya tarehe 1 Septemba 2025 na tarehe 29 Oktoba 2025 katika maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam, katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa mtu aliye chini ya utii kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alikula njama ya kushawishi umma kuzuia Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba 2025 na alidhihirisha nia hiyo kwa vitendo, yaani, kwa kuendesha maandamano yasiyokoma kote katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa lengo la kutishia Serikali (Mhimili wa Utendaji) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Imetolewa Dar es Salaam tarehe 31 mwezi Oktoba 2026.
Soma Pia: Pambalu wa CHADEMA atuhumiwa kwa ugaidi
View attachment 3695467
Nani huyo tena anaitishiaJamuhuri ?.John Justine Pambalu anakabiliwa na tuhuma za uhaini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, kwa mujibu wa hati ya mashtaka ya mwaka 2026.
Hati hiyo inaeleza kuwa Pambalu anadaiwa kutenda kosa hilo katika tarehe mbalimbali kati ya Septemba 1 na Oktoba 29, 2025, katika maeneo tofauti ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa hati hiyo, Pambalu anadaiwa kuwa na nia ya kuushawishi umma kusababisha vikwazo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, huku akidaiwa kuonyesha nia hiyo kwa kufanya maandamano yasiyoisha katika maeneo mbalimbali nchini.
Hati ya mashtaka inaeleza kuwa vitendo hivyo vinadaiwa kuwa na lengo la kuitisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tuhuma hizo zinatajwa chini ya Kifungu cha 39(2)(d) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16, Toleo la 2023.
Hati hiyo imeandaliwa na kusainiwa na Wakili wa Serikali jijini Dar es Salaam, Oktoba 21, 2026.
Hata hivyo, hati ya mashtaka inaeleza tuhuma dhidi ya Pambalu na si uthibitisho kwamba amepatikana na hatia.
JOHN JUSTINE PAMBALU, katika tarehe mbalimbali kati ya tarehe 1 Septemba 2025 na tarehe 29 Oktoba 2025 katika maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam, katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa mtu aliye chini ya utii kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alikula njama ya kushawishi umma kuzuia Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba 2025 na alidhihirisha nia hiyo kwa vitendo, yaani, kwa kuendesha maandamano yasiyokoma kote katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa lengo la kutishia Serikali (Mhimili wa Utendaji) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Imetolewa Dar es Salaam tarehe 31 mwezi Oktoba 2026.
Soma Pia: Pambalu wa CHADEMA atuhumiwa kwa ugaidi
View attachment 3695467
Watu weusi sisi sio binadamu kamili.Wenzetu wanawaza kuboresha Technology kuweza kuifikia sayari ya Mars na kuweza kuishi huko sisi huku viongozi anawaza amfunge mpinzani et kisa anamkosoa. Sasa unajiuliza kama mtu hutaki kukosolewa si ujifanyie kazi zako huko, uliomba kazi ya uongozi wa watu ili iweje? Ujinga ni mwingi sana Tz
Jamhuri ipo kazini kila atakayejaribu sheria zipo kikazi zaidi.Nani huyo tena anaitishiaJamuhuri ?.
Jamuhuri gani hii inaogopa vitisho ?
Jamuhuri ipi iyo inatishika kizembe ?
Mbona jamuhuri ya kioga hivyo inatembea imekunja mkia kama mbwa koko !!.
Kwa nini Jamuhuri haina confidence? Kwa nini jamuhuri inahofu muda wote ?
Jamuhuri iliyopoteza kujiamini kila ikisikia kishindo inakimbia huku na kule !!
Jamuhuri iliyoundwa na mafisadi na walafi, ni jamuhuri ya hovyo ,, Hopeless 🗑️
Bado jamuhuri ina play victim yaliyotokea October 29.
Pole yake ila huu ndio wakati wa kuonesha ule umwamba wake Sasa ambao Huwa anatamba akiwa huru Nje.John Justine Pambalu anakabiliwa na tuhuma za uhaini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, kwa mujibu wa hati ya mashtaka ya mwaka 2026.
Hati hiyo inaeleza kuwa Pambalu anadaiwa kutenda kosa hilo katika tarehe mbalimbali kati ya Septemba 1 na Oktoba 29, 2025, katika maeneo tofauti ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa hati hiyo, Pambalu anadaiwa kuwa na nia ya kuushawishi umma kusababisha vikwazo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, huku akidaiwa kuonyesha nia hiyo kwa kufanya maandamano yasiyoisha katika maeneo mbalimbali nchini.
Hati ya mashtaka inaeleza kuwa vitendo hivyo vinadaiwa kuwa na lengo la kuitisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tuhuma hizo zinatajwa chini ya Kifungu cha 39(2)(d) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16, Toleo la 2023.
Hati hiyo imeandaliwa na kusainiwa na Wakili wa Serikali jijini Dar es Salaam, Oktoba 21, 2026.
Hata hivyo, hati ya mashtaka inaeleza tuhuma dhidi ya Pambalu na si uthibitisho kwamba amepatikana na hatia.
JOHN JUSTINE PAMBALU, katika tarehe mbalimbali kati ya tarehe 1 Septemba 2025 na tarehe 29 Oktoba 2025 katika maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam, katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa mtu aliye chini ya utii kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alikula njama ya kushawishi umma kuzuia Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba 2025 na alidhihirisha nia hiyo kwa vitendo, yaani, kwa kuendesha maandamano yasiyokoma kote katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa lengo la kutishia Serikali (Mhimili wa Utendaji) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Imetolewa Dar es Salaam tarehe 31 mwezi Oktoba 2026.
Soma Pia: Pambalu wa CHADEMA atuhumiwa kwa ugaidi
View attachment 3695467
Hawa wangese naada ya kuona kesi ya ugaidi inalichoresha Taifa kimataifa sasa wamekimbilia kupachika wtu kesi ya Uhaini. Qumer mae zao.John Justine Pambalu anakabiliwa na tuhuma za uhaini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, kwa mujibu wa hati ya mashtaka ya mwaka 2026.
Hati hiyo inaeleza kuwa Pambalu anadaiwa kutenda kosa hilo katika tarehe mbalimbali kati ya Septemba 1 na Oktoba 29, 2025, katika maeneo tofauti ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa hati hiyo, Pambalu anadaiwa kuwa na nia ya kuushawishi umma kusababisha vikwazo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, huku akidaiwa kuonyesha nia hiyo kwa kufanya maandamano yasiyoisha katika maeneo mbalimbali nchini.
Hati ya mashtaka inaeleza kuwa vitendo hivyo vinadaiwa kuwa na lengo la kuitisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tuhuma hizo zinatajwa chini ya Kifungu cha 39(2)(d) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16, Toleo la 2023.
Hati hiyo imeandaliwa na kusainiwa na Wakili wa Serikali jijini Dar es Salaam, Oktoba 21, 2026.
Hata hivyo, hati ya mashtaka inaeleza tuhuma dhidi ya Pambalu na si uthibitisho kwamba amepatikana na hatia.
JOHN JUSTINE PAMBALU, katika tarehe mbalimbali kati ya tarehe 1 Septemba 2025 na tarehe 29 Oktoba 2025 katika maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam, katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa mtu aliye chini ya utii kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alikula njama ya kushawishi umma kuzuia Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba 2025 na alidhihirisha nia hiyo kwa vitendo, yaani, kwa kuendesha maandamano yasiyokoma kote katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa lengo la kutishia Serikali (Mhimili wa Utendaji) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Imetolewa Dar es Salaam tarehe 31 mwezi Oktoba 2026.
Soma Pia: Pambalu wa CHADEMA atuhumiwa kwa ugaidi
View attachment 3695467
........hata akiwa kwenye majukwaa.Pole yake ila huu ndio wakati wa kuonesha ule umwamba wake Sasa ambao Huwa anatamba akiwa huru Nje.