Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Hii ilikuwa mwaka 2016 wakati wa zama za JPM ila kwasasa ni kama anaomba aendelee na madaraka!!
Nini kimemkuta mstaafu JK?
Nini kimemkuta mstaafu JK?
ALIMAANISHA KINYUME CHAKE. HICHI ANACHOFANYA SAIHIVI NDICHO ALICHOKITAKA WAKATI WA MZEE MAGUFULI ILA JAMAA AKAWATOA NOCKOUT KWA KUWAULIZA WANACHOWASHWA NACHO
Alianza kilimo.kumbe ni unafiki tuHii ilikuwa mwaka 2016 wakati wa zama za JPM ila kwasasa ni kama anaomba aendelee na madaraka!!
Nini kimemkuta mstaafu JK?View attachment 3533361View attachment 3533362
🤣🤣🤣🤣🤣
Juzi pale mbezi beach kwa JK kwenye msiba muda wote yeye na kijana wake wanacheka tu, wanafurahia kila sekunde ya uhai wao duniani.Kijana wake alisusa hadi JF wakati wa Jiwe. Jiwe alipofariki tu akaibuka tena jamvini kwa fujo.
Yeye na baba yake baada ya jiwe kunyoosha sura zao zina nuru, bashasha na furaha.
Kifupi jamaa Nchi yake hii hilo halina ubishiJuzi pale mbezi beach kwa JK kwenye msiba muda wote yeye na kijana wake wanacheka tu, wanafurahia kila sekunde ya uhai wao duniani.
Mstaafu pekee aliye hai, hilo hatuliangalii tunaishia kuongozwa na chuki kwa sababu ana ushawishi kwenye awamu hii ya SSH.Kifupi jamaa Nchi yake hii hilo halina ubishi
Kijana wake yupi? Anao wengiKijana wake alisusa hadi JF wakati wa Jiwe. Jiwe alipofariki tu akaibuka tena jamvini kwa fujo.
Yeye na baba yake baada ya jiwe kunyoosha sura zao zina nuru, bashasha na furaha.
AbdulKijana wake yupi? Anao wengi
Kazaa na nani huyo Abdul ?Abdul
Sawa sawa MkuuMstaafu pekee aliye hai, hilo hatuliangalii tunaishia kuongozwa na chuki kwa sababu ana ushawishi kwenye awamu hii ya SSH.
Na samiaKazaa na nani huyo Abdul ?