Kutoka Maktaba, sio mbaya kukumbushana

Wakati huo ilikuwa ni Corona time, alafu baada ya kuongoza kundi ulienda wapi?
 
Uzuri kwa sasa mnashiriki kombe la Luza, kwa hiyo mnaruhusiwa pia kuweka msimamo wa kundi lenu.
 
Niliishia robo msimu uliopita na ww baada ya hapo ukaishia wapi?
Kama wewe tu, kwahiyo haina mantiki kuponda point 9 za shirikisho na kuona points 4 za club bingwa umepambana sana wakati tushawahi kuongoza kundi mbele ya miamba yenyewe club bingwa
 
Lazima niponde kwani uzito wa Championship na Confederation ni tofauti, zawadi zao tofauti, hata kiongozi wenu Kaduguda analijua hilo.

Sawa mliongoza baada ya hapo ikawaje? Yaani ni sawa na kupiga picha na mzungu, halafu ukabakpa palepale.
 
Ukivuka hapo ulipo ndo nitakusifia ,siwezi kukusifu kwa hatua ambayo mi nilishafika,ni sawa na sasa hivi sisi shirikisho tusipofika fainali hatuwezi kujigamba mbele yenu maana hatukufika mlipofikia
 
Si hatuhitaji kusifiwa na nyie, mmeamua kutupa calculator tutaitumia na tutawaduwaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…