Kutoka Maktaba, sio mbaya kukumbushana

Kutoka Maktaba, sio mbaya kukumbushana

Mnyama Simba aliongoza kundi mbele ya mabingwa wa kihistoria Al Ahly katika Ligi ya Mabingwa Afrika.

Mambo kama haya ni wakubwa wa kazi tu, timu yako kama ina watoto wanaopaka rangi nywele huwezi kufika huko.View attachment 3196156
Ila Simba duuuh🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌imekosa bahati tu...
 
Ukaenda kufungwa na timu iliyoshika nafasi ya pili. Huku aliyeshika nafasi pili akaenda kubeba ubingwa.

KOLO MUHAN.
 
Lazima niponde kwani uzito wa Championship na Confederation ni tofauti, zawadi zao tofauti, hata kiongozi wenu Kaduguda analijua hilo.

Sawa mliongoza baada ya hapo ikawaje? Yaani ni sawa na kupiga picha na mzungu, halafu ukabakpa palepale.
Na ninyi ongozeni Kisha mtuambie imekuwaje
 
Back
Top Bottom