Kutoka Maktaba: Wataje wachezaji hawa wa Ajax Amsterdam

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Swali jepesi kwa wapenda soka, wale wakongwe unaweza kuwataja wachezaji hawa wa Ajax? Jaribu
574CB19A-6C9F-4013-953B-A45EBE9A1B71.jpeg
 
Nimemtambua kanu na van der sa tu hapo
Hapo kuna captain Danny Blind na Finidi George pia.

Kikosi hiko cha Ajax kilitwaa taji la Uefa Champions League mwaka 1995 kwa goli maridadi la straika Patrick Kluivert.

Kikosini pia walikuwepo De Boer's brothers (Frank & Ronald), vilevile walikuwepo akina Edgar Davids, Clerence Seedorf, mchawi wa soka toka Finland, Jari Litmanen na wengineo

Hapo chini ya ufundi wa kocha la mpira, Louis Van Gaal
 
Kluivert katokea sub kwenda kuwaua vijana wa capello, kimoja tu cha nguruwe, cha dk za jioooni. Akiwaacha kina maldini, mwamba franco baresi, fundi BOBAN wakiwa hoi.
 
Wa kwanza kushoto nilikuwa nasema huyu mchezaji nimeshawahi kumwona wapi kumbe ni baba yake blind 😁 safi sana
 
Kluivert katokea sub kwenda kuwaua vijana wa capello, kimoja tu cha nguruwe, cha dk za jioooni. Akiwaacha kina maldini, mwamba franco baresi, fundi BOBAN wakiwa hoi.
Nilisikia wakongwe wakidai iyo mechi ilichezwa wakati Tanzania ikiomboleza mv bukoba
 
Hawa wote walienda arsenal
Hapana mkuu, aliyeenda Arsenal hapo alikuwa Kanu pamoja na Bergkamp. Overmars alipitia kwanza Barca nadhani.

Wachezaji wengi walitimkia Barcelona pamoja na kocha wao Van Gaal.

Van Der Sar alikwenda Juve hakufanya vizuri baadae akaenda Fulham akacheza pale kwa miaka kadhaa kabla ya kwenda Man Utd
 
Asante mkuu kwa taarifa na patric kulvert yeye alienda wapi???
 
Back
Top Bottom