Mkuu huko sahihi. Ni fainali ya Uefa 1996 kati ya Ajax na Juventus ndo ajali ya meli ya mv bukoba ilitokea. Nimecheki kwenye google. Juventus ilishindaKama kumbukumbu zangu ziko sawa kuhusu mv bukoba.. Ilizama 96, wakati ajax alibena ndoo msimu wa 94/95.. Fainali iliangukia 95.