Kutoka Mliman City, Diamond na Zuchu mahaba nje nje

Ndo mchezo wake ukiangalia record zote kashika yye huko boomplay
 
Mambo si mambo...!!! New couple in town? Wacha tuendelee kunywa mtori , nyama tutazikuta chini
View attachment 2119674
View attachment 2119675View attachment 2119676
Picha inazungumza mengi sana.
Baba is not in love kabisa yuko ki biashara zaidi. Ila mama amekuwa strategic akijisogeza sogeza kwa hila na ushawishi akitafuta love status. Kanaonekana king'ang'anizi lakini pia kinaonekana kinatumia hila na unafiki mwingi wa kichinichini ili kuolewa na mjukuu wangu Mondi.

BTW, ni kwa nini mlio karibu na huyo mtoto wakike msimshauri avae nguo za kujifunika kama mila yakwao ili angalau kuficha maumbile ya miguu yake? Nani alimwambia akikaa uchi anapendeeza?

Mondi umeona madhara ya kujifanya dume la mbegu? Sasa imekula kwako. Unaingizwa kwenye ndoana na wazenji, waliokubuhu kwa mambo yale, kwa lazima bila kujali hata kama mwali angelikuwa na miguu kama mihogo, ama sura kama mbegu na macho kama njegere pori.

Na hapo ndipo unafikia mwisho wa mziki na umaarufu wake. Wengine jifunzeni. Msijichanganye na wanawake wa uzenjini, ni balaa wale.
 
Dogo karogwa si bure,unamuacha zari unaoa hiki macho kumchuzi kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…