Kutoka Mliman City, Diamond na Zuchu mahaba nje nje

Kutoka Mliman City, Diamond na Zuchu mahaba nje nje

Yani hataaa Domo haoneshi mapenzi kabisa basi tu shobo .... mbona atajuta ni suala la muda tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo atajua hajui, maana hata ktk industry ya music atashuka mno. Wee subiri tyuuu.
 
Kwa jinsi nilivyotazama Zuchu yupo kimkakati sana.na pia mzee baba kashavua nguo pale washajuana nyuchi wale.

Tena mwanadada anaonyesha alikamia kweli show.na hamuogopi kabisa bosi wake ,zamani kidogo nidhamu na heshima ilikuwepo kati yao.
Ndio madhara ya kuchanganya mapenzi na kazi.
Nakazia. Ukichanganya mapenzi na kazi, kuna uwezekano mkubwa kuharibu huko mbeleni.
 
MLIYOTOA HELA KWENDA KUSHUHUDIA NDOA
IMEKURA KWENU,SUBIRI KIPIGO KINGINE
MNAPANGWA SAHV....

ova
 
Kama kuna mtu aliamini Domo anamvisha sijui pete Zuchu basi ajijue bado ni mbwiga sana. Hii ilikua ni marketing strategy tu.
 
Back
Top Bottom