Picha inazungumza mengi sana.
Baba is not in love kabisa yuko ki biashara zaidi. Ila mama amekuwa strategic akijisogeza sogeza kwa hila na ushawishi akitafuta love status. Kanaonekana king'ang'anizi lakini pia kinaonekana kinatumia hila na unafiki mwingi wa kichinichini ili kuolewa na mjukuu wangu Mondi.
BTW, ni kwa nini mlio karibu na huyo mtoto wakike msimshauri avae nguo za kujifunika kama mila yakwao ili angalau kuficha maumbile ya miguu yake? Nani alimwambia akikaa uchi anapendeeza?
Mondi umeona madhara ya kujifanya dume la mbegu? Sasa imekula kwako. Unaingizwa kwenye ndoana na wazenji, waliokubuhu kwa mambo yale, kwa lazima bila kujali hata kama mwali angelikuwa na miguu kama mihogo, ama sura kama mbegu na macho kama njegere pori.
Na hapo ndipo unafikia mwisho wa mziki na umaarufu wake. Wengine jifunzeni. Msijichanganye na wanawake wa uzenjini, ni balaa wale.