Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia.
Pesa zoote za jumla za mirabaha ni kiduchu ya alizonazo yeye.Huyu aliekuwa namba tano kwenye kupokea oesa za mirabaha anatoa wapi pesa za kufanya hizi fujo??
Kwa nini uoe demu mbovu,kuna mademu wana kila kitu,wazuri wa sura ,umbo, tabia,we kama umeoa demu mbaya shauri yakoUkitafuta manzi kwa kuzingatia pisi kali, basi utaumia mapema
Hapana si kwamba unaoa demu mbaya ila watu wengi wanaoa mademu wa kawaida kuliko wale wanaokuwa wanadate nao kwakuwa unakuta pisi kali last night nasubiri tu kuhongwa hata ukilioa halina ushauri wa maana zaidi ya kutaka simu kali kila toleo na kula bataMke mzuri ni pambo la nyumba,ntaoa demu mbovu kama sina hela
hawa vijana wengi wao wanapenda misabwandaIla Kale Katoto Kana Sura Tamu+Tabasamu Lake.
.
Kalipita mbele Yangu maana nilikuwa seat ya mbele ni pisi Kali mnooo Wa Kwetu.
.
Ugonjwa Wangu ni Aina ya wanawake Kama Zuuh, mm wanawake wanene Kwangu Hapana Mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu kabinti kenye maadiriHata mm nakapenda Sana ka zuchu kanaonekana kanajua sana mambo kitandani
Lame reasonHuyu dogo anafanya haya yote kwa sababu ya harmonize na ali kiba na zaid wasanii wengine kama marioo wanatoa ngoma kali na zaidi wabongo saiv wanapagawa na nyimbo na wasanii wa kinaijeria na kila siku kuna nyimbo mpya
Sasa dogo lazima aje na kitu cha kupooza huo moto ili akae kwenye headlines.
Pisi Kali ni kipengele haswaa...!! Zinahtaji pesa non stop, mpak ukute zinazojielewa nazo ni chache , Kwa nini ucheze pata potea kubahatisha pisi Kali inayojielewa wakat kuna kundi la kawaida linakusubir...Hapana si kwamba unaoa demu mbaya ila watu wengi wanaoa mademu wa kawaida kuliko wale wanaokuwa wanadate nao kwakuwa unakuta pisi kali last night nasubiri tu kuhongwa hata ukilioa halina ushauri wa maana zaidi ya kutaka simu kali kila toleo na kula bata
Alisikika mchawi mmojaWataachana tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kapiga pesa zipi diamond kwa zuchu. Na wakati zuchu, diamond ni bosi wakeDiamond ana mahusiano na aaliyah uko kwa Zuchu kacheza na upepo wenu na kwenye Hili kafanikiwa kwa kiasi kikubwa kupiga hela za maana
Kila mtu ana preference yake usitake kila mtu awe na mtazamo kama wakwao wewe unayemuona mzuri mwingine kwake si mzuri na wewe unayemuona Mbaya kwa mwingine ni mzuri ishi humoKwa nini uoe demu mbovu,kuna mademu wana kila kitu,wazuri wa sura ,umbo, tabia,we kama umeoa demu mbaya shauri yako
Kwani mwanaume yupo Diamond pekee asioa mbona Vunjabei pamoja na kuwa na pesa mpaka Leo hajaoa mbona uongei hayo masuala yako? Tuwache kuwa na fikra za kiwanga wangaTatizo masharti ya wajenzi huru yanambana Mondi, ameambiwa azalishe tu...No kuoa!
Hapa nazungumzia kwa wale waliolipa kiingilio kuingia kwenye hiyo event mwamba unakwama wapi?Kapiga pesa zipi diamond kwa zuchu. Na wakati zuchu, diamond ni bosi wake
Kweli kabisa kuna hatari ya kuishi kwa stress. We si unaziona insta, hivi kweli hizo pisi katika hali ya akwaida unaiwekaje ndani, muda wote inawaza pga picha ikiwa viwanja!Pisi Kali ni kipengele haswaa...!! Zinahtaji pesa non stop, mpak ukute zinazojielewa nazo ni chache , Kwa nini ucheze pata potea kubahatisha pisi Kali inayojielewa wakat kuna kundi la kawaida linakusubir...
Kwa jinsi nilivyotazama Zuchu yupo kimkakati sana.na pia mzee baba kashavua nguo pale washajuana nyuchi wale.Picha inazungumza mengi sana.
Baba is not in love kabisa yuko ki biashara zaidi. Ila mama amekuwa strategic akijisogeza sogeza kwa hila na ushawishi akitafuta love status. Kanaonekana king'ang'anizi lakini pia kinaonekana kinatumia hila na unafiki mwingi wa kichinichini ili kuolewa na mjukuu wangu Mondi.
BTW, ni kwa nini mlio karibu na huyo mtoto wakike msimshauri avae nguo za kujifunika kama mila yakwao ili angalau kuficha maumbile ya miguu yake? Nani alimwambia akikaa uchi anapendeeza?
Mondi umeona madhara ya kujifanya dume la mbegu? Sasa imekula kwako. Unaingizwa kwenye ndoana na wazenji, waliokubuhu kwa mambo yale, kwa lazima bila kujali hata kama mwali angelikuwa na miguu kama mihogo, ama sura kama mbegu na macho kama njegere pori.
Na hapo ndipo unafikia mwisho wa mziki na umaarufu wake. Wengine jifunzeni. Msijichanganye na wanawake wa uzenjini, ni balaa wale.