Kutoka Mliman City, Diamond na Zuchu mahaba nje nje

Kutoka Mliman City, Diamond na Zuchu mahaba nje nje

Pete za umaarufu, utajiri hizo mkuu na kama unataka vita muulize kuhusu maana ya hizo pete au kathubutu kumvua uone

Yeye mwenyewe alishasema huniwezi kiserikali (that means anaamini serikali ameiweka mfukoni), huniwezi kipesa (anaamini pesa itafanya chochote), huniwezi kiuchawi (kumbe huwa hawamsingizii kuwa ni mchawi na free mason, nipe mkono kama huamini tushindane)
Hivi Chifu na ile inshu ya Jamaa kuchungulia shimo alilotokea pia ni mojawapo ya masharti aliyopewa na wajenzi huru?
 
Designer aliyomshonea hiyo nguo diamond inabidi alipwe Mara mbili yake na mimi nitangalia uwezekano wakumpata anishonee kwenye harusi yangu Mungu akipenda
You must be joking. Mi nadhani angepewa tuzo ya fundi mbovu
 
Huyu dogo anafanya haya yote kwa sababu ya harmonize na ali kiba na zaid wasanii wengine kama marioo wanatoa ngoma kali na zaidi wabongo saiv wanapagawa na nyimbo na wasanii wa kinaijeria na kila siku kuna nyimbo mpya

Sasa dogo lazima aje na kitu cha kupooza huo moto ili akae kwenye headlines.
Mbona umeandika hoja dhaifu sana...

Kwahiyo zile enzi za WemaSepetu alikuwa anafanya kwaajili ya nani?
 
Mambo si mambo...!!! New couple in town? Wacha tuendelee kunywa mtori , nyama tutazikuta chini
View attachment 2119674
View attachment 2119675View attachment 2119676
Mala zote nikiona mada ya mtu anamuongelea mtu mwingine na maisha yake hua najiuliza sana kwamba huyu hana cha kufanya au ndo vijana mnao kula nyumbani,?

Maana naanzaje kurusha vipicha vya watu eti wameshikana na kutengeneza mada isiyo fundisha chochote kwenye jamii isipokua kufatilia maisha ya mwingine yasiyo kuhusu

Afrika tutakufa masikini sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman khaaaah sitaki kucheka, mie hapa mbavu cna uwiiiiih.
Kuna watu wamepigwa na kitu kizito kichwani,woiiiiiiih
 
Mbona huyo huyo Dai kasema yeye na Zuchu sio couple ni mtu na msanii wake,tena baba na mtoto wake[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mala zote nikiona mada ya mtu anamuongelea mtu mwingine na maisha yake hua najiuliza sana kwamba huyu hana cha kufanya au ndo vijana mnao kula nyumbani,?

Maana naanzaje kurusha vipicha vya watu eti wameshikana na kutengeneza mada isiyo fundisha chochote kwenye jamii isipokua kufatilia maisha ya mwingine yasiyo kuhusu

Afrika tutakufa masikini sana
Umeishia la ngapi ? Jifunze maudhui ya hili jukwaa alaf uende jukwaa la ujasiriamali
 
Za ndaaani kabisa nakupa hizo chukua....

Masharti ya vifungu vya mkataba wa Wajenzi huru...yanamkataza kufanya agano la ndoa...

Akiingia tu "agano la ndoa" basi ndio atasahaulika na kuporomoka umaarufu wake...Ameruhusiwa tu kuzalisha wanawake wowote awezavyo lakini kuoa asahau ndio maana unaona tangu aanze mahusiano hakuna yaliyodumu, anazalisha wanawake anawaacha Single mothers

NB: Sio lazima uamini saaana hizo za ndani
Acha wivu kijana tafuta hela, kwani kina Jayz hawajaoa?
 
Pete za umaarufu, utajiri hizo mkuu na kama unataka vita muulize kuhusu maana ya hizo pete au kathubutu kumvua uone

Yeye mwenyewe alishasema huniwezi kiserikali (that means anaamini serikali ameiweka mfukoni), huniwezi kipesa (anaamini pesa itafanya chochote), huniwezi kiuchawi (kumbe huwa hawamsingizii kuwa ni mchawi na free mason, nipe mkono kama huamini tushindane)
Makasiriko.com
 
Dogo karogwa si bure,unamuacha zari unaoa hiki macho kumchuzi kweli
Zari zee zima kisa uafrikast wa kihindi, na Mali anazomiliki, na hata mbuyu ulianza Kama mchicha, acha mmatumbi apate raha. Na ustar uzid kupaa.
 
Zari zee zima kisa uafrikast wa kihindi, na Mali anazomiliki, na hata mbuyu ulianza Kama mchicha, acha mmatumbi apate raha. Na ustar uzid kupaa.
Zari mzee ila yuko vizuri,haka kamacho kumchuzi mpaka kafike umri wa zari katakuwa ovyo
 
Binti anatumika tu masikini....anaona kapata kumbe kapatikana...
 
Kwanza shos unaona hata domo mwenyewe anawaza mapenzi nayee? Sio bidada ndo ana shobo dundo tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani hataaa Domo haoneshi mapenzi kabisa basi tu shobo .... mbona atajuta ni suala la muda tu
 
Back
Top Bottom