- Thread starter
- #41
UBARIKIWE SANA NA MUNGU KWA MOYO WAKO WA KUTOA ELIMU HASA KWENYE HILI JAMBO LANGUHapana, yenyewe upande huu karibu na Toangoma. Maana hata Kata yake ni Toangoma, kwenda Kigamboni na kwenda Mbagala ni faster sana. Ni kamji kadogo lakini baadae waswahili wote wale wataondoka.