sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
BIBI HUCHOKI KUCHUKIA WAJUKUU ZAKO??Albamu iliyobuma
BIBI HUCHOKI KUCHUKIA WAJUKUU ZAKO??
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama sio insider bhasi kwa level ya mahaba uliyonayo kwa Diamond, nitakuombea kwa Mungu WCB wakuone
Mkuu usiwe na shaka hao wote ni mashabiki wa damu wa Diamond Platnumz aka Simba ndio maana wapo kila linapotajwa jina Diamond. Diamond ana mashabiki wa aina mbili wanaosifia na wanaomtukana.Watu wanakukebehi hapa alafu badae utawasikia tuwe kama wa Nigeria.
Tutakuaje kama wao wakati ukijitokeza kusifia msanii wa ndani unaonekana mshamba?
Ni mke mwenzake huyo, hapo anamsifia bwana ili apendwe yeye. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utakuwa wewe ni juma lilokole umetumwa eeh
Fact, haters are fans in disguise.Mkuu usiwe na shaka hao wote ni mashabiki wa damu wa Diamond Platnumz aka Simba ndio maana wapo kila linapotajwa jina Diamond. Diamond ana mashabiki wa aina mbili wanaosifia na wanaomtukana.
Ndio yenyewe, mambo ya kawaida hayo kwa mtoto wa tandale.Wembley stadium au sijasoma vzr?
Ni mke mwenzake huyo, hapo anamsifia bwana ili apendwe yeye. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]