Kutoka Mwanza: Watu watoa shukrani zao kujumuishwa kwenye FOA World Tour ya Diamond Platnumz

Kutoka Mwanza: Watu watoa shukrani zao kujumuishwa kwenye FOA World Tour ya Diamond Platnumz

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitafute mara ngapi sasa shoga angu? Mbna mie tayar mama mjengo, sio km wee mnaegombania huyoooo
Mimi huniwezi nitakutoa utumbo wa mavi utaishi na pampas
 
Mimi huniwezi nitakutoa utumbo wa mavi utaishi na pampas
Wee shoga angu acha mapepe, ukimaliza kugombania bwana na mke mwenzio lokole afu utulize kalio sasa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu usiwe na shaka hao wote ni mashabiki wa damu wa Diamond Platnumz aka Simba ndio maana wapo kila linapotajwa jina Diamond. Diamond ana mashabiki wa aina mbili wanaosifia na wanaomtukana.
Mkuu nimeipongeza sana Serikali pamoja na Diamond mwenyewe kwa kutopambania tuzo na wasanii wenzake wa ndani ila akapewa tuzo ya heshima. Kiukweli ndo alichokuwa anastahili. Kwa alipofikia sio sawa wala haki kumshindanisha Simba na wasanii wadogo kama Ali Kiba, Harmonize au Mbosso.
 
Back
Top Bottom