[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitafute mara ngapi sasa shoga angu? Mbna mie tayar mama mjengo, sio km wee mnaegombania huyoooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitafute mara ngapi sasa shoga angu? Mbna mie tayar mama mjengo, sio km wee mnaegombania huyoooo
Mkuu usiwe na shaka hao wote ni mashabiki wa damu wa Diamond Platnumz aka Simba ndio maana wapo kila linapotajwa jina Diamond. Diamond ana mashabiki wa aina mbili wanaosifia na wanaomtukana.
Mkuu nimeipongeza sana Serikali pamoja na Diamond mwenyewe kwa kutopambania tuzo na wasanii wenzake wa ndani ila akapewa tuzo ya heshima. Kiukweli ndo alichokuwa anastahili. Kwa alipofikia sio sawa wala haki kumshindanisha Simba na wasanii wadogo kama Ali Kiba, Harmonize au Mbosso.