Kutoka na Ebitoke, ni uthibitisho kuwa Ben Pol hana swaga

Mwisho wa siku watamwagana..kama nadanganya wapeni miezi 6 tuuu af mrejee huu uzi...mapenzi tena mwanamke ndo kaanzisha afu yako mitandaoni kila uchao,Subutuuuu
Mapenzi yanadumu ikiwepo privacy na kama it's a man's idea..mwanamke ukifosi kingi jiandae mbeleni mana mwanaume hajakupenda we ndo umependa
 
Mwanamke hutengenezwa. Hivyo ben anaweza kumtengeneza ebitoke na akawa kimbilio.
 

Haya mambo ya [emoji307] ni ya kuyaacha kama yalivyo kwa sababu:-
1.Ni mambo binafsi sana ya mtu/watu na huwa na faragha.
2.Suala la kupenda ni mtazamo wa mtu
3.Hii awam si ya KUPANGIANA
 

Wanawake hampendani.. Sijui kwanini sijui
 
Hakuna bint mbaya kikubwa ni matunzo tu, ebtoke akitulia na kuridhika utamsahau mkuu, wanawake wengi unaowasema Kwamba ni wakali wazuri na wenye hadhi make up ndio inawatoa hakuna chochote unataka uchanganyikiwe? Oa hao Utaona ata kazi kama utafanya na wao hawapo nyuma matunzo yakikushinda aaaah utabaki na labda mkuu
 

Mkuu tengua kauli yako samahani maana hapo umemkufuru muumba wetu kwani alisema ametuumba sote kwamfano wake sasa unapo sema nimbovu duh!....misimo
 
Huyu mwanadamu gani huyu anayeweza ku-qualify binadamu wabaya na wazuri? Binadamu gani huyu anayewachagulia wenzake wazuri na wabaya.

Tatizo watanzania wengi ni vichaaa na malimbukeni, hawana kitu lakini wamejaa dharau kwa binadamu wenzao.

This is a serious mental case. Ebu tujiongeze watanzania. Acheni kudiscuss vitu visivyo na tija.
 
nyie wanaume mbona hampendani hivi? nyie si mnasemaga wanawake hawapendani! huku ndio kupendana sasa?
 
ebitoke unamfananishaa na dada ako yupi.manake dada zako hata hawatizamiki yupi anauefanan na ebitoke achaa dharau ebitoke ana ubayaa gani??watu wengine bwana.kwanza huyo ben naye hana lolote mchicha mwibaa tu tunomjuaa huwa twacheka kwa dharau
ni bwabwa nini?
 
Haya nenda wewe ukawe na Ben Pol maana una hadhi!
 
Tuwekee picha ya demu wako hapa tuone anauzuri Wa aje ..
 
Mtoto sealed huyo.. unadhani ben pol ni mjinga mjinga



Ukimaindi natuma tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifanya nicheke kwa sauti mkuu
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…