Kutoka na Ebitoke, ni uthibitisho kuwa Ben Pol hana swaga

Unakata ben pol akuoe wewe? Kwan ebitoke sio mtu? Acha zalau kama unamtaka sema
 
Kwamba ni mbaya hapa umekosea kwamba ni kiwango hapa umekosea nadhani ni kwa nini wamependana tuwaachie wao maana ben po akiomba umpe ambacho ebitoke anampa sidhani kama utatoa anyway unaweza kutoa maana zama zimebadilika sio kila homa ni malaria ila hutamfikia ebitoke anachompa binafs nawaombea wafike mbali maana out of drama inaonekana yule binti anajiheshim na ni mcheshi kumbuka mwanaume anatafuta mwanamke atakayemheshim na kumpenda sio sura wala umbo
 
swagga ni nini..?
 

unakijua kitu kinaitwa Public attention..? unajua kitu kinaitwa kujibrand..? anachokifanya kwa sasa ni kuhitaji attention kutoka kwa watu pia apate followers wengi hiyo kwake inafaida kupromote kazi zake lakini pia makampuni yakawaangalia yy na huyo dada kama watu wanaozungumzwa sana nakuwapa endorsement.
Fikilia mbali wewe..
 
Pingana na ukweli tu kwani hao uliowataja walitangaza kuwa ni bikra? Very irrelevant! Ukiona mwanamke anaitangazia Dunia ni bikra hastahili kupewa hiyo heshima, Hakuna sehemu niliyosema ukiwa barmaid haufanikiwi? Namuheshimu Mama yako mkuu ingawa amezaa Tutusa
 

Mawazo kama haya ndio yanayofanya watu wengi wasidumu kwenye mahusiano au ndoa.....

Mawazo hasi huwa ni mawazo yenye kubomoa siku zote......mapenzi hayajengwi kwenye mawazo hasi bali mawazo chanya......kwa kuwa maawazo yetu ya kila siku yana mchango mkubwa sana kwenye maisha yetu ya kila siku......

Kwanini usiwaombee waendelee kuwa pamoja kwa kuwa wanapendana....badala unataka kuwa shuhuda siku wakiachana ili unabii wako utimie......wewe ndio ungekuwa Ebitoke ungrfurahia kuona mtu mwenye mawazo kama haya juu ya mahusiano yako....!!!?

 

Wewe mbona unamuonea wivu yule demu kutoka na ben? Hivi wewe ni mwanaume wa aina gani? Utakuwa na dalili za uchoko wewe ndio maana unamuonea wivu mtoto wa watu.

My take: yule jamaa hapendagi machoko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kinachompa thamani mwanamke yeyote hata aweje ni "bikra".
Na awe ameitunza kwa ajili yako tu.

Unadhani angekua ni used, Ben Pol angehangaika nae?
 
nyie wanaume mbona hampendani hivi? nyie si mnasemaga wanawake hawapendani! huku ndio kupendana sasa?

Mtoa post atakuwa ni mwanamke mwenzenu [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Nadhan huyu Dada ule wimbo wa nikikupata ulimpa moyo na kumpa go ahead but ebitoke is cute kila mwanamke anayejheshmu ni cute
 
Mleta mada nenda na wewe kwa Ben Paul kama unamuonea wivu binti wa watu
 
Sio mbovu tatizo mmezoea madem wa mekap nyingi ukiacha kazi yake dem nimkali sana
 
Hahahaha[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…