Kutoka na Ebitoke, ni uthibitisho kuwa Ben Pol hana swaga

Weka picha yako ili tuifananishe na ya Ebitoke ukiwa umemzidi Ebby kwa uzuri basi tunamtoa tunakuweka ww, lol,

Otherwise, acha kuwapangia watu maisha ya kuishi.
 
Nimekuekuelewa sana mkuu
 
Mtoa mada hii. Fact: unaniaka chini ya 25 na hujaoa... Utoto unakusumbua. Achana na maisha dogo. Watu tunatafuta amani tunaoa hata Malaya kabisa.
 

Kwa ' mbaaaaaaliiiiii ' sana kila nikiangalia picha za hawa ' Wawili ' nauona ' Unafiki ' na ' Uwongo ' uliotukuka baina yao. Hata hivyo ' Kisaikolojia ' Ben Paul anaonekana hata ' Mademu ' zake huko nyuma walikuwa ' wakimpelekesha ' mno kwani ni ' dhaifu ' sana katika Mapenzi. Wanaume wa aina ya Ben Paul ndiyo huwa wanaongoza ' Kubanduliwa ' Mademu zao na ' Wajanja / Masela '. Mwanaume hutakiwi kuwa ' nyoro nyoro / sleki sleki / mayai mayai / mlaini laini / mtoto wa Mama ' kama Ben Paul.
 
Hiyo ndiyo maana halisi ya attention kwa wasanii... Keshafanikiwa kuwaaminisha kile anachotaka muamini... Big up kwa Ben Pol...


Cc: mahondaw
 
Wanapendana ama ebitoke ndo anampenda Ben Pol?..Ben Pol si kazaa na mwanamke mwingine.. Eh em niwaache miee...ila haya mapenzi ya mwanamke kufosi kingi sio mapenzi... Wanaume kwani hamjulikani?!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…