Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

Mimba asitoe asee, ila kumuoa ni maamuzi yako asikulazimishe
 
Sigh! Are you serious? Wanawake 'wacha Mungu' wenye miaka zaidi 30? Wanawake warembo sana zaidi ya miaka 30? Wanawake wasomi sana zaidi ya miaka 30? Ameajiriwa taasisi kubwa analipwa mshahara mkubwa?

Jombaa, Hao wanawake wote uliowataja hapo juu ndio wanaongoza kwa kupigwa pipe. Tena sikushauri kabisa kuoa mwanamke mwenye miaka zaidi ya 25 regardless ya umri ulionao hata kama una miaka 99. Any age above that anakuja na high mileage (courtesy of her last 7 boyfriends), emotional baggage, na social pressure.
 
Kuna mwamba humu analilia mwanamke wa hivi lakini hampati, anaitwa jjs2017 ..njoo huku bwana uone wenzio wanavyoringia kupendwa...
Nimefatilia sana huu uzi nikagundua "KUOA NI JAMBO LA KIPUUZI""

Acha niendelee na hawa madanga wangu maisha ya ende..

Unaweza lazimisha kutafuta mwanamke uoe ukaja jutia maisha..
Kama ni mke atakujaga tuu asipo kuja wazazi ni sameheni bure mimi nita deal na vitoto miaka 18- 25 nikuvitafuna tuu nipooze machungu ya kusaka wife na kutaka kujidhuru.

Bora niwe mzinzi tuu mapenzi siyo kitu serious sana
 
Mke atakuja mzee usiwaze.
Usiyachukulie mapenz serious sana tengeneza life mkuu.
 
Yaani kuna mmoja alikuwa stress wenzie wameolewa akaforce ndani ya miezi mitatu niwe nimeshamuoa pia anataka harusi awafunike Rafiki zake wote na anunuliwe Pete ya Tanzanite..duuh nkapiga chini mapema...
 
Kuulizwa au kuambiwa haupo serious hapa mkuu umenena 100% ni shida tupu. Wanataka mambo yaende wanavyowaza wao bila kufikiria kuwa muoaji ana plan zake pia
 
hahahahaha nashindwa hata nikomenti nini, yani sikutarajia jibu la namna hii mkuu
 
Yaani kuna mmoja alikuwa stress wenzie wameolewa akaforce ndani ya miezi mitatu niwe nimeshamuoa pia anataka harusi awafunike Rafiki zake wote na anunuliwe Pete ya Tanzanite..duuh nkapiga chini mapema...
Huyo ungeoa bomu, lingelipukia ndani likuvuruge mpaka kichwa
 
Mwamba unatema madini nachukua Notes [emoji3578] kabisa.
 
Endelea.kuwa nice, fala.kabisa
 
Dunia hii ukisema usikilize kila ambacho unakiona mitandaoni unaweza kujikuta umekuwa mtu hatari,

Sometimes nyuzi kama hizi zinanifanya nitafakari upya juu ya hawa wanawake, umefanya research gani kugundua hayo yote mkuu?

Wapo wanawake wa juu ya 30 wametulia sana tena sana, na mimi binafsi from experience nimeoa mwanamke wa juu ya 30 kiukweli ni mwanamke haswa na alijitunza mno, na hayo mambo ya pressure za ndoa mimi sikuyaona kabisa,

Ndoa ni baraka na bahati, kila mwanamke ameandikiwa wakati wake na Mungu, akifikisha 30, 40,... sio uamue tu kwa utashi wako kumuweka kwenye kundi la wanawake wasiofaa kuolewa, mara waliotumika sana, n.k
Kutumika ni tabia ya mwanamke yeyote haijalishi umri, mbona vitoto vya 17,18....25 tumepiga sana tena unakuta kitoto kidogo ila kule ndani ni bwawa kabisa.

Tatizo tunaangalia hawa viruka njia wa mjini halafu tunawatumia kama mfano kwa wanawake wote, tunakosea sana jamani, Tujaribu kuwa waungwana, tuvae viatu vyao kama binaadamu,
Wakati mwingine hizo presha ni kwasababu ya presha wanazokutana nazo kwenye cycle zao, home, kitaa, n.k
Unaweza kuacha mke mzuri kwa mitazamo hii ukaenda kuoa nyoka majuto baadae,

Kaa na waliooa hao 18....24 wakwambie kama ndoa zao zina amani na furaha kuliko hao 30.....,
Ndoa ni ndoa tu, kama ni ndoano ni ndoano tu haijalishi umemuoa mwenye umri gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…