Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

Sasa kwann ulizaa na Bibi mkuu[emoji3]
Dogo sijazama nae bali hiyo binti anaclaim kuwa ana ujauzito wangu. Nilitembea nae maramoja tu, yeye yupo mkoa mwengine tofauti na mimi nilipo na akiwa na shida namsaidia pamoja na kumpa hela za maandalizi ya kujifungua. Nasubiri mtoto azaliwe nikamuone na kama she has been playing me a fool kwa kunibambikia, sitamfanya chochote ila nitakata misaada na kumpotezea mazima
 
Mkuu umeongea jambo ambalo ndio linalonitokea sasa. Yaani imefika kipindi nikiona call yake tu nachukia. Akitext namjibu muda ambao nitaona unafaa.
Nishajaribu kumrekebisha lakini baada ya siku mbili anarudi kulekule alafu mbaya zaidi ana kiburi flani hivi na vitisho vyakisen.ge kise.n.ge. kisa amebeba ujauzito and in no time from now atajifungua. Nishamwambia kwajinsi ulivyo sahau mimi kukuoa wewe, nitabaki kulea tu huyo mtoto.
Unauhakika huyo mtoto atakae zaliwa ni wako??
 
Wanaokuwa na presha za kuolewa ukichunguza kwa umakini utagundua ni umri umeenda halafu maEx wake karibia wote wameoa au wana familia zinazoeleweka.

Kwahiyo anatamani ndoa ya fasta fasta ili awaringishie mabwana zake na mashosti kuwa hajachuja ingawa walimuona yupo fungu la kukosa.

Hawa wa namna hii ndio wakishaizoea ndoa wanaanza kujirudisha kwa maEx taratibu kwa chatting za wizi wizi na mwisho wa siku wanarudisha mapenzi katika machaka yao ya zamani. Inakuwa kama umeoa mke asiyekua wako tu.
 
Hii kitu ni balaa sana,
Uwe unadate na mwanamke anayehitaji kuolewa kwa muda huo, yule anayeona kama umri unamtupa mkono huwezi enjoy hayo maahusiano ni kero mwanzo mwisho,

Maswali kama, "hivi utanioa kweli?"/ "baby utanioa lini"/ "Mbona huji kujitambulisha kwetu?"/ Mbona hunitambulishi kwenu?" n.k. Hata kama ulikua kuna mambo unaweka sawa kwanza ili umuoe unaweza kughairi tu.

Kunyimwa penzi kwa kuona kama unamchezea ni jambo la kawaida. Ukipewa basi inabidi ujihazari, usipotegeshewa mimba basi utabambikiwa ilimradi apate cha kukushikilia.

Mbaya zaidi unakuta alishatumika balaa, speedmeter inasoma kilometa za kutosha.
Kwa hili wanawake mbadilike mjue tu ukiweka presha kubwa ya kupata kitu ndio unakikosa kabisa.
Kaka hiki kipengele ni kizito na wanakuwa walalamishi balaa. Kimbia hawa watu kama ukoma utakuja jutia.
 
Ni kero sana,unakuta kakaa na msela miaka mitatu,chuo,tena walipanga chumba kimoja,na hajamuoa,ila mimi kudate nae miezi miwili anataka ndoa,na wala hata kwangu hajawahi kulala hata siku mbili,anakujaga na kusepa.
Huyu ukishamuoa tu na akishaanza kuizoea ndoa. Yule msela wake wa chuo ambae unakuta waliachana kwa visa anaanza kumrudia.

Mume unaonekana bonge la ndezi, na unyumba unaanza kupewa kwa kupimiwa. Kutwa visingizio vya kuumwa au vijisafari vya kijinga eti kuwaona ndugu au wazazi kumbe anaenda kuchakatwa na vibwana vyake. Bladifakeni [emoji34][emoji34][emoji34]
 
Unauhakika huyo mtoto atakae zaliwa ni wako??
Kuna my previous comment nimeonesha mashaka niliyo nayo juu ya huo ujauzito. Siwezi kukataa kwasababu huwezi jua there might be a possibility ikawa ya kwangu kweli, what if nikamuignore halafu ni damu yangu kweli? So nilichoamua ni kumlea na ujauzito wake kwa kumtumia hela kila anapohitaji huko huko mkoani kwake alipo, Mimi nitajiridhisha baada ya mtoto kuzaliwa.
 
Huyu ukishamuoa tu na akishaanza kuizoea ndoa. Yule msela wake wa chuo ambae unakuta waliachana kwa visa anaanza kumrudia.

Mume unaonekana bonge la ndezi, na unyumba unaanza kupewa kwa kupimiwa. Kutwa visingizio vya kuumwa. Bladifakeni [emoji34][emoji34][emoji34]
Ndivyo inavyokua,yaani yeye anachotaka ni aingie ndani,akishaingia,yeye anaanza kisaka maex ambao alikua anawapenda,ila wao wakamtosa,wakaoa wanawake wengine kwasababu walizoziona wao.Na papara anayoionyesha kwako, uwezekano ni mkubwa akawa anawaonyesha wengine pia,ana-bet,atakayrmuoa ayaaa.
 
Hawa wanaotamani kuolewa na umri umeenda sio wa kuwaoa

Wengi wanakuwa wametega wanaume tofauti tofauti ili ndoa ikifeli kwa huyu aangukie kwa mwingine

Kwa kifupi hawana upendo wa kweli wako kwa ajili ya ndoa tu

Wanapigwa sana mashine ili kujaribu kumvutia kila mwanamume katika circle yake
Hata maamuzi ya kumuoa sio yako unakuwa under pressure
 
Kuna my previous comment nimeonesha mashaka niliyo nayo juu ya huo ujauzito. Siwezi kukataa kwasababu huwezi jua there might be a possibility ikawa ya kwangu kweli, what if nikamuignore alafu ni damu yangu kweli? So nilichoamua ni kumlea na ujauzito wake kwa kumtumia hela kila anapohitaji huko huko mkoani kwake alipo, Mimi nitajiridhisha baada ya mtoto kuzaliwa.
Okay uamuzi mzuri
 
Ni kipengele kwa kweli, yaani ana kuwa hana amani kabisa na hajui ashike wapi na akipata tu mtu wa kumdanganya atamuoa ujue huna chako
Umenikumbusha hapo kwenye hajui ashike wapi

Kuna mmoja tulizinguana akanimbia kama wanaume wako wengi nikasema poa. Si akampigia mshikaji wake mwingine kule tena akapewa cha mbavu

Kesho asubuhi akanirudia kwa text ndefu akiomba msamaha na simu za vilio.

Akasafiri kutoka mkoa alipo kikazi kuja Dar kunipa tunda anishawishi kuwa nimsamehe nimejilia tu japo sina mpango naye

Hawa wanawake walio na kiu ya ndoa na kaumri sio rafiki sio wa kuoa kabisa
 
Back
Top Bottom