zachariano alexido
Senior Member
- Mar 10, 2026
- 178
- 460
Kwani hao machalii wanaoenda kuuza mitumba nairobi, Huwa wanauza biashara ikiisha jioni wanarudi bongo au wanakaa HUKO HUKO?Mkuu hata mimi ni mzaliwa wa Arusha na nimekulia huko. Nairobi napajua kuliko hata Dar. Nikuhakikishie kuwa maisha ya Nairobi sio mepesi. Hao machalii labda walikuwa wa kwenda na kurudi kibiashara.
Kuuza mitumba Nairobi? Ninachojua wabongo ndo huenda soko la Gikomba, Nairobi kununua mitumba na kuja kuiuza Arusha.Kwani hao machalii wanaoenda kuuza mitumba nairobi, Huwa wanauza biashara ikiisha jioni wanarudi bongo au wanakaa HUKO HUKO?
yeye hakurudi kutokana na maisha kumpiga hilo uelewe,au haujasoma hadithi nzima?Depression ni mbaya. Hata ughaibuni maisha yanaweza kukupiga mpaka ukawa homeless!
Kwani wewe hoja yako inamhusu yeye pekee yake?yeye hakurudi kutokana na maisha kumpiga hilo uelewe,au haujasoma hadithi nzima?
SIO wote bro, wengine wanauza HUKO HUKO, tena wengi sana, Kuna jamaa mkenya, alisema KIPINDI kile wake ya wamezuiwa kifanya baadhi ya biziness bongo, YULE jamaa alidai vipi nasi tukienda kuwakurupua wale wabongo wanao uza mitumba, mana hiyo ni fursa ya wakenya Sasa wewe una mana wabongo hawauzi mitumba wao ni kununua tu? si KWELI uliza mkuuKuuza mitumba Nairobi? Ninachojua wabongo ndo huenda soko la Gikomba, Nairobi kununua mitumba na kuja kuiuza Arusha.