ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Binamu yangu alishindwana na Black american wake baada ya kupata shavu bongo. Aliwaacha mke na watoto akarudi zake na maisha yake yako poa sana.Hii story ina maswali mengi sana aisee, ila amepiga wrong moves nyingi. Pia kuacha mke ulaya na kuja kuoa tena huku nadhani alikosea sababu Mungu huitambua ndoa moja. Kwa wanadamu kuna kuachana ila kwake hakuna kuachana.
Huyu mkenya kuna kitu hakijaelezwa hapo maana kuna wrong moves nyingi kwa mtu mwenye exposure namna hiyo.