Kutoka rubani wa ndege nchini Marekani hadi muokota makopo nchini Kenya

Kutoka rubani wa ndege nchini Marekani hadi muokota makopo nchini Kenya

Kuoa Wazungu kumewapa maisha Waafrika wengi, faida ni nyingi zaidi ya hasara.
Huyu ni mwanaume wa nne wa kikenya kukumbwa na dhoruba na wanawake wa kizungu, wanawake wa kizungu au wazungu kwa ujumla vichwa vyao vina mushkeli sio kidogo, anaweza kuamka asubuhi akadai talaka na hujamkosea, anachukua mkwanja unaachwa hapo...kibaya zaidi wanapenda ndoa kuzitunza sasa !...ukiwa nae sahau kuwekeza Africa, maana anakuwa ana monitor account yako, ..siku yakikukuta sasa ndo kama hivi, huna chochote Africa!
 
Wanawake wetu hawa ukishakuwa Huna mbele wala nyuma anakukimbia mbio nyingi haangalii potential, ukiwa Huna kitu huwaoni, wanawake wa kizungu wanajua kusoma potential ya mtu, hata kama huna pesa nyingi lakini kuna potential anaiona kwako basi utakuwa naye ili ukija kutoboa mgawane mbao vizuri....Halafu kiherehere cha yeye kwenda Kenya kimemponza, mkewe aliona kabisa Kenya hatutoboi kule, mifumo migumu.
Hakika mkuu, kuna wanawake wanaweza wakasmell potential ya mtu mapema huko mbeleni.
 
Maisha yana mambo mengi sana, navyozidi kukua nazidi kuepuka kuwa mtoa hukumu na kujaribu kuwa muelewa zaidi. Hatuwezi kujua mwamba alipitia nini katika maisha mpaka kuchukua hatua ya kurudi nyumbani, kikubwa tumuombee. Kuna facts mbalimbali mfano:
1: what if alikuwa anatuma pesa za kujiandaa kurudi nyumbani ndugu wakala hizo pesa,
2: What if alikumbana na changamoto za kazi hususan ubaguzi katika sekta ya Anga U.S akaona ajipange na kurudi tu nyumbani.
3: what if ialipewa ahadi ya potential ya kazi akirudi Kenya.
Ndugu zangu maisha ya mwanaume ni ya vita muda wote, wakati mwingine matarajio hayakidhi uhalisia. Mungu atupe nguvu ya kushinda mapambano yetu
Maswali yako yanaleta tafakuri jadidi
 
Afrika kuna uncertainty zinazo sababishwa na system mbovu. Ndio maana ni ngumu sana diaspora kurudi Afrika.

Nchi za wenzetu kama una ujuzi, Hata upoteze kila kitu, skill yako itakubeba.

Afrika unaweza kuwa na ujuzi lakini kutokana na system mbovu, utakwama.
Lakini system mbovu kivipi? Huyu jamaa na yeye naona ali miscalculate vitu vingi. Baadaya kuishi na kufanya kazi Marekani muda wote huo, dola 5000 ya kupata certification ya u pilot Kenya ilimshindaje?
Au ni afadhali basi angeendelea kuvunga kidogo huko USA huku akikusanya pesa kisiri siri kabla ya kufunga safari kurudi Kenya.
 
Maisha yana mambo mengi sana, navyozidi kukua nazidi kuepuka kuwa mtoa hukumu na kujaribu kuwa muelewa zaidi. Hatuwezi kujua mwamba alipitia nini katika maisha mpaka kuchukua hatua ya kurudi nyumbani, kikubwa tumuombee. Kuna facts mbalimbali mfano:
1: what if alikuwa anatuma pesa za kujiandaa kurudi nyumbani ndugu wakala hizo pesa,
2: What if alikumbana na changamoto za kazi hususan ubaguzi katika sekta ya Anga U.S akaona ajipange na kurudi tu nyumbani.
3: what if ialipewa ahadi ya potential ya kazi akirudi Kenya.
Ndugu zangu maisha ya mwanaume ni ya vita muda wote, wakati mwingine matarajio hayakidhi uhalisia. Mungu atupe nguvu ya kushinda mapambano yetu
Ndio maana Natafuta Ajira anazungumza sana humu ndani wanaume tujitengenezee maisha yetu wenyewe kwanza kabla ya ndoa na baada ya ndoa pia.
 
Huyu ni mkenya mwanaumewa nne kukumbwa na dhoruba na wanawake wa kizungu, wanawake wa kizungu au wazungu kwa ujumla vichwa vyao vina mushkeli sio kidogo, anaweza kuamka asubuhi akadai talaka na hujamkosea, anachukua mkwanja unaachwa hapo...kibaya zaidi wanapenda ndoa kuzitunza sasa !...ukiwa nae sahau kuwekeza Africa, maana anakuwa ana monitor account yako, ..siku yakikukuta sasa ndo kama hivi, huna chochote Africa!
Wapo kimkakati sana. Wengi wao ila, sio wote.
 
Lakini system mbovu kivipi? Huyu jamaa na yeye naona ali miscalculate vitu vingi. Baadaya kuishi na kufanya kazi Marekani muda wote huo, dola 5000 ya kupata certification ya u pilot Kenya ilimshindaje?
Au ni afadhali basi angeendelea kuvunga kidogo huko USA huku akikusanya pesa kisiri siri kabla ya kufunga safari kurudi Kenya.
Kiukweli mimi kanishangaza
 
Huyo alikosea mwenyewe. Inaonekana alitaka show off kwa wakenya wenzake kwa sababu huko Marekani kila mtu yuko bize na hawajali urubani wako. Mbaya zaidi hakufanya utafiti akirudi ataanzia wapi.

Hii stori IMENIKUMBUSHA ndugu yetu mmoja mwanariadha mkubwa miaka ya 90 hadi mwanzoni mwa 2000. Huyu jamaa alikuwa anafadhiliwa na SAMSUNG na hata baadae akikaribia kustaafu riadha alipata ajira ya kudumu makao makuu ya Samsung, Korea. Akaushtusha umma kwa kuamua kuacha kazi Samsung kwa alichodai Korea kuna baridi sana pia yuko mbali na familia yake. Ikumbukwe Samsung ilikuwa inalipia tiketi ya kwenda na kurudi kwa ajili ya mke wake na watoto wao wawili mara tatu kwa mwaka.

Jamaa akarudi Arusha. Mwanzoni alikuwa kama mfalme kwasababu ya pesa. Ila kadiri muda ulivyoenda pesa pia ikawa inakata. Alivyofikia level ya kuanza kutembea kwa mguu mke naye akaanza kumsaliti kwa kutembea na rafiki wa jamaa. Jamaa alidhoofika kuanzia kiuchumi hadi kisaikolojia kwa sababu haikuwa siri tena kwamba anachapiwa. Mwaka 2009 tulimpoteza mtu wetu kwa kifo cha ghafla.

Ninadhani ukienda nchi kama Marekani yenye utulivu halafu maisha yakakunyookea endelea na maisha hukohuko. Labda kama umeenda DRC, Afrika ya kati au nchi nyingine ya kishenzi ukabahatisha pesa ni sawa kurudi nyumbani.
 
Yaani akili yake iliishia kuokota makopo?nimeamini u rubani si elimu bali ni udereva anyone can be
Unakujuwa vizuri Kenya? Kuna mzungu daktari alimfata mke wake mkenya, baada ya kukimbia na watoto wake, kaishia kuwa mlevi wa mataputapu, Hana kazi na mke kamkimbia!...maana yangu Kenya ni kugumu mno mno kiutafutaji, ndo maana wakija nje wanafanya kazi kama punda!...msoto wa Kenya sio poa!
 
Hapana Aisee!!!

Ukioa Mzungu kubali uwe mtumwa labda ndiyo itakuwa salama yako.
Namshangaa sana...wenzake hapa wanapigika kishenzi, full kupelekeshwa na mwanamke wa kizungu ukimgusa tu hata na kidole unaozea jela!
 
Back
Top Bottom