Ugumu wangu
JF-Expert Member
- May 6, 2021
- 1,685
- 3,552
- Thread starter
-
- #201
Ameen, nitalifanyia kazi mkuu naamini ipo siku atajibuMkuu hongera Sana na pole Sana, maana mapito yako Ni mazito Sana!!
Kuhusu mahusiano naomba jaribu kuweka quality za mke kwako,
Anatoka wapi, wa kabila gani? Labda elimu yake, kazi n.k
Fatilia kupitia hizo category, huku ukumshirikisha Mungu,
Naamini utapata sahihi kabisa
Inategemea na connection zenyewe mkuu maana si mpka uwe na rafiki mahaliMkuu honger Sana na pia pole kwa changamoto za mausiano hV bado una power ya kumuingiza mtu kazini mnk nimekwama mkuu nisaidie nisame kazini
Ahsante ndugu yalishapita japo ndio hivyo sitasahauDuh pole kaka na hongera kwa kushinda mitihani yako,kifupi Mungu anakupenda Sana ,dah historia yako ni movie tosha,njoo kwang mim tuyajenge haha sitokuumiza na hutojutia
Ahsante Sana mkuuHatari sana na pole sana...
Tapeli hili ..asakwe popote alipo afungwe jiwe shingoni atupwe bahariniGuys muwe makini.
Huyu Ugumu wangu amenighilibu na kunitapeli pesa. Nachelea kusema hafanyi kazi huko kwenye idara za usalama kama anavyojinasibu.
Nimeweka picha yake na mpitie hiyo thread hapo chini mjue kilichotokea.
View attachment 2196279Nini kifanyike?
Wakuu salama? Nina jambo linahitaji kupata suluhu hapa. Kuna mtu nimefahamiana nae kupitia JF, tulionana Mara moja. Nilimtafuta nikiwa na uhitaji fulani, kwenye mazungumzo yetu tukakubaliana kufanya biashara mimi nikiwa kama mtu nnaemtafutia wateja napata commission. The thing is, nilipata...www.jamiiforums.com
Mikwara yote kumbe fwamba tuuuAhsante Sana mkuu