Ugumu wangu
JF-Expert Member
- May 6, 2021
- 1,685
- 3,552
- Thread starter
- #161
Mungu mwema mkuuMkuu umenipa hamasa ya kukufahamu in personal ila tuishie hapo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu mwema mkuuMkuu umenipa hamasa ya kukufahamu in personal ila tuishie hapo tu
Nimekupata mkuu nalifanyia kazi hiliChief , mie kwa mawazo yangu , ni nahisi njia unazotumia kutafuta mke hazipo sahihi.
Lakini Pia ,badala ya kumuachia MUNGU akuchagulie Mke huyo. Wewe unaenenda kwa akili za Kibinadamu.
Ameen nekupata mkuu Mungu akubariki 🙌🙌🙌Mkuu tafuta mwanamke wa kawaida tu usipagawe na umbo au rangi. ww angalia akili yake tu kichwani yukoje na anawaza nn bhac km mawazo yake na yako yanaendana huyo weka ndani maumbo na sura Ni vitu vitakuvutia kwa kipindi kifupi Sana na furaha yake huwa haidumu coz kila kitu kinabadilika. Usipagawe na pisi kali nyingi huwa zina akili mgando.
Tafuta mwanamke wa kawaida tu ambae mtasikilizana. mkuu umepitia shida nyingi Sana hakuna haja ya kuendelea kuteseka na mapenzi.
Na endelea kumuomba mungu huenda kuna mtu kakuandalia ambae utatengenza nae maisha
Sawa sawa mkuuPia napishana na mdau aliyesema utafute binti from chuo or underage.
My dear hao nao wanaweza kukupa headache
Refer wimbo wa Lissa.
Nimelibeba lilivyo 👏👏👏Pole,
Mimi Kwa mawazo yangu, nimeona kwa kweli una kiu ya upendo wa dhati.
Ukiangalia trend from parents to majanga unayokutana nayo inaonyesha unahitaji faraja na Ile ukaribu from Babe.
Mimi Kwa upande wangu, naomba tu muachie Mungu atakutengenezea Hili akitaka, Kama ilivyokua mwanzo ulilia Mungu asikie maombi Rudi tena KWA Mungu uhojiane nae kuhusu hilo.
Inawezekana wewe Bado hujawa tayar kuwa mume hivyo bado hujapata ubavu wako.
Wadada wazuri kitabia wapo ingawa ni ngumu kuwatambua.
Don't rush jipe muda like two years Mungu ataleta tu ubavu wako.
Usionyeshe too much pesa maana wengi wanachanganyikiwa nazo.
Maombi yangu upate a wife who is a team player maana una maono makubwa so you need a smart woman to push towards what you wish to do to this world.
Ameen mkuu , nauchukua ujumbe huuWrite your reply...Duuuh mkuu pole sana kwa mapito maana hakika umepitia changamoto nyingi sana japo pia inaonekana una elements za bahati kwa kiasi fulani refer yule baba aliyekupeleka shule na incedent ya kabisani kukutana na aliyekupa connection ya kazi.
Ni wachache wanaweza kuwa na luckyness ya kiwango hicho.
Kuhusu kuoa ushauri wangu kwa kuwa unajitosheleza kwa kila kitu rudi kwa wazee unaowajua na unaowaheshimu wape vigezo vyako unavyovitaka waambie wakitafutie mwanamke.
Mwenyewe inaonekana mpaka hapo zoezi limekuwia gumu. Alafu ukishampata ukaona anakufaa ebu punguza kufatilia mambo mengi sana unaweza jikuta hauoi. Wanawake wa sasa wengi ni changamoto saaaaaaana
Pia napishana na mdau aliyesema utafute binti from chuo or underage.
My dear hao nao wanaweza kukupa headache
Refer wimbo wa Lissa.
Ushauri wangu ni kama wa member huyu,Pole,
Mimi Kwa mawazo yangu, nimeona kwa kweli una kiu ya upendo wa dhati.
Ukiangalia trend from parents to majanga unayokutana nayo inaonyesha unahitaji faraja na Ile ukaribu from Babe.
Mimi Kwa upande wangu, naomba tu muachie Mungu atakutengenezea Hili akitaka, Kama ilivyokua mwanzo ulilia Mungu asikie maombi Rudi tena KWA Mungu uhojiane nae kuhusu hilo.
Inawezekana wewe Bado hujawa tayar kuwa mume hivyo bado hujapata ubavu wako.
Wadada wazuri kitabia wapo ingawa ni ngumu kuwatambua.
Don't rush jipe muda like two years Mungu ataleta tu ubavu wako.
Usionyeshe too much pesa maana wengi wanachanganyikiwa nazo.
Maombi yangu upate a wife who is a team player maana una maono makubwa so you need a smart woman to push towards what you wish to do to this world.
Ameen, mkuu ahsante sana kwa hili nimelichukua mkuuUshauri wangu ni kama wa member huyu,
Nyongeza.
Pengine mkuu kutokana na Uwezo wako wa kiuchumi umejikuta unaattract hata wanawake ambao sio.
Kwa nilivyoona baadhi kama sio wote, wanakaa na wewe kwa sababu ya Huduma za kiuchumi unazowapa.
Sikushauri utafute sijui binti ambae yuko chuo, au ambae bado hajajua mambo.
Anaweza kukukubali kwa sababu ya msaada utakao mpa. Lakini baadae akakusumbua sana.
(Ni mara nyingi tumesikia stori kama hizi)
Mwisho Mke mwema anapatikana sehemu yoyote, awe ni mwanachuo, au kamaliza form four tuu, au ana kazi kabisa.
Muhimu ni muombe Mungu(mbona amekusaidia Makubwa, hili hawezi shidwa bana)
Yaani story tu umelia! Je ungekuwa ndo yeye ingekuwaje?Story yako imeniliza
Bashite mwenyewe alishasimulia alivyochoma mkaa na kuchimba mchanga mbezi louisInaendelea.....
Baada ya kupata matokeo hayo mazuri nilianza kuitafuta hela kwa uvudi na uvumba ili kidato Cha tano na sita nisipate shida, Basi nilikimbizana sana na mkaa huku mwingine na kata mwenyewe na mwingine nanunua kwa wenzangu naenda kuuza Pugu, mpaka siku naenda form five nilienda na Tsh 3m, namshukuru Mungu nilipangwa Ilboru secondary na kidato Cha tano na sita sikupata wakati mgumu sana kutoka nilikuwa na connection kidogo nikifunga shule naenda kutengeneza mkaa huko dar maeneo yote King'azi Hadi kwembe na tanuru langu la mwisho ni pale karibu na Mloganzila.
Katika harakati za kukataa mkaa hapa nilionana na mtu mmoja ambae nikimtaja hapa mnaweza shangaa kuwa nae alipita huku lakini alifika mahali akajisahu akawa muuwaji na mwizi, hapa nazungumzia bwana Albert Bashite Daudi[emoji3525][emoji3525][emoji3525] huyu mtu nimekula nae na kupika chakula pamoja na kuendelea kukata mkaa naomba hili niishie hapa.
Mungu mwaminifu Tena mtihani wa mock form six niliambulia 3.15 niliumia lakini kidogo maana mawazo yalianza kuja kuwa mwalimu so hata necta nikipata hiyo sio mbaya naweza kuwa mwalimu na inatosha maana kwa namna nilivyosota inatosha sana.
Itaendeleaa......
Nimekata nae mkaa tanuru la mwisho na kuagana ni kwembe karibu na MloganzilaBashite mwenyewe alishasimulia alivyochoma mkaa na kuchimba mchanga mbezi louis
Ahsante sana mkuu kwa ushauri wako nauchukua 👏👏👏👏Haya uliyosimulia tumeyapitia wengi ila tunatofautina kidogo.I wish niongee nawe hata kwa simu nikusimulieeeeee safari yangu mpaka nilipo sasa. Na nilijua kabisa mwisho wa funzo na safari yako ni mambo haya ya Mke(mapenzi).
Sasa brother ni hivi,mimi binafsi nimekutwa na hali ya kusalitiwa juzi tu hapa.Tena kwa mtu niliyeamwamini asilimia 100 na nilijua tayari mke nimepata.Nimemwandaa miaka 4,with all of my respects yule binti nimekuwa naye.Nilikuwa kama wewe yani hakuna kumvua chupi mpaka ndoa kanisani. Sina kipato saaana na sipendi mambo ya masherehe ila kwa yule dada niliamua kumfanyia kila kitu. Nimemsaidia sana katika namna nyingii mpaka amefika hatua nzuri.But amekuja kuvuliwa chupi kirahisi sanaa na jamaa.Nilichokifanya nikamwonesha upendo uleule wiki 1 then nikapotea simtafuti tena mpaka milele. Hapa najua karma ya alichonifanyia itampata tu,ni suala la muda.Nipo nasubiri muda huo.
Ushauri:
Kama ambavyo nimeamua mimi,nawe fanya hivyo.Nimeamua kutulia.Na pindi nitakapompata mtu ninayeona ninaweza ishi naye nampa mimba halafu kitakachofuata kitajulikana mbele. Hawa watu ni wa ajabu sana.Ukisema umpe heshima zote kama ambavyo tumejaribu kufanya anakufanyia kituko unaweza kujinyonga.Mimba kwanza halafu unamsikilizia anasemaje? Hii huwa ni kidhibiti kizuri na hawana ujanja hapo.Anafika mahala anakubaliana na hali na kusonga mbele.Ila et ufuate procedures!ohoooo haichukui muda unakutana na madudu yake hata shetani anamkana.
Ni hayo tu,kila lakher.
Umelipasua jipu mujarabu na mubashara.Mabinti wa siku hizi kama walivyo wanaume wengi wanapenda zaidi kutest mitambo kabla ya ndoa.
Sasa wewe utaratibu wako wa kukaa na mdada mapenzini bila kufanya lile tendo nadhani ndilo linawaweka kwenye lmtihani na kuamua kujippozea kwingine huku wakisubiri ahadi yako itimie.
Cha kufanya ni kutafuta mwanamke bikra baaas. Utamjuaje? Hapo ni muhimu kujuana na wazee kadhaa maana ni ngumu kwa kweli. Kama ni mtu wa maombi pia MUNGU aweza kukusaidia.
Inawezekana unategemea sana ujuzi wako wa kazi uliyonayo kutafuta mke(hii mara nyingi huwa haisaidii).
Halafu nikuulize ndugu, ina maana mpaka leo hujawahi gusa utupu wa mwanamke kimapenzi?
Mimi nikupongeze kwa maisha uliyopitia na ulipofika,story yako imenirudisha katika story ya member mmoja humu kwa jina la Mtoto mdogo Sana ambaye alikuwa chokoraa wa Mwanza.Huyo dogo nilikutana naye akanisimulia kinaga ubaga.Ni maisha yaliyojaa mateso na uvumilivu mwingi.Kuhusu mambo ya mahusiano watakushuri wengine lakini niseme tu,Wanawake ama wasichana wa kileo wengi wameishazoea tendo la ndoa ,na hii inasababishwa na tamaa wakiwa wadogo wanaanza kufanya ili wafanane na akina wema sepetu.Wakipata uhuru kidogo wanaanza kudanga mwisho wa siku wanakuwa addict was ngono.Ukiwa naye halafu hufanyi unasubiri siku ya ndoa,Kwanza anahisi hujakamilika ama una kibamia halafu hapohapo yeye ana kiu,unafikiri itakuwaje? Jibu Ni,atakusaliti ama atakukataa.Nimekata nae mkaa tanuru la mwisho na kuagana ni kwembe karibu na Mloganzila
Haya uliyosimulia tumeyapitia wengi ila tunatofautina kidogo.I wish niongee nawe hata kwa simu nikusimulieeeeee safari yangu mpaka nilipo sasa. Na nilijua kabisa mwisho wa funzo na safari yako ni mambo haya ya Mke(mapenzi).
Sasa brother ni hivi,mimi binafsi nimekutwa na hali ya kusalitiwa juzi tu hapa.Tena kwa mtu niliyeamwamini asilimia 100 na nilijua tayari mke nimepata.Nimemwandaa miaka 4,with all of my respects yule binti nimekuwa naye.Nilikuwa kama wewe yani hakuna kumvua chupi mpaka ndoa kanisani. Sina kipato saaana na sipendi mambo ya masherehe ila kwa yule dada niliamua kumfanyia kila kitu. Nimemsaidia sana katika namna nyingii mpaka amefika hatua nzuri.But amekuja kuvuliwa chupi kirahisi sanaa na jamaa.Nilichokifanya nikamwonesha upendo uleule wiki 1 then nikapotea simtafuti tena mpaka milele. Hapa najua karma ya alichonifanyia itampata tu,ni suala la muda.Nipo nasubiri muda huo.
Ushauri:
Kama ambavyo nimeamua mimi,nawe fanya hivyo.Nimeamua kutulia.Na pindi nitakapompata mtu ninayeona ninaweza ishi naye nampa mimba halafu kitakachofuata kitajulikana mbele. Hawa watu ni wa ajabu sana.Ukisema umpe heshima zote kama ambavyo tumejaribu kufanya anakufanyia kituko unaweza kujinyonga.Mimba kwanza halafu unamsikilizia anasemaje? Hii huwa ni kidhibiti kizuri na hawana ujanja hapo.Anafika mahala anakubaliana na hali na kusonga mbele.Ila et ufuate procedures!ohoooo haichukui muda unakutana na madudu yake hata shetani aaanam
Ni kweli mkuu wameharibika sana maana mmh hatari Sina la kuelezea sana hapa✍️✍️✍️✍️Mimi nikupongeze kwa maisha uliyopitia na ulipofika,story yako imenirudisha katika story ya member mmoja humu kwa jina la Mtoto mdogo Sana ambaye alikuwa chokoraa wa Mwanza.Huyo dogo nilikutana naye akanisimulia kinaga ubaga.Ni maisha yaliyojaa mateso na uvumilivu mwingi.Kuhusu mambo ya mahusiano watakushuri wengine lakini niseme tu,Wanawake ama wasichana wa kileo wengi wameishazoea tendo la ndoa ,na hii inasababishwa na tamaa wakiwa wadogo wanaanza kufanya ili wafanane na akina wema sepetu.Wakipata uhuru kidogo wanaanza kudanga mwisho wa siku wanakuwa addict was ngono.Ukiwa naye halafu hufanyi unasubiri siku ya ndoa,Kwanza anahisi hujakamilika ama una kibamia halafu hapohapo yeye ana kiu,unafikiri itakuwaje? Jibu Ni,atakusaliti ama atakukataa.
Tatizo ni kwamba ndo karibia wote wamekuwa hivyo.Huwa nashangaa Sana nikiwaona Instagram wanatumia nguvu Sana kukata viuno weeee,mpaka unajiuliza,huyu anapata faida gani kwa kufanya hivi?Ni kweli mkuu wameharibika sana maana mmh hatari Sina la kuelezea sana hapa[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]
😂😂😂😂😂Tatizo ni kwamba ndo karibia wote wamekuwa hivyo.Huwa nashangaa Sana nikiwaona Instagram wanatumia nguvu Sana kukata viuno weeee,mpaka unajiuliza,huyu anapata faida gani kwa kufanya hivi?