hahahaa huyu simba anasumbua dar tu huko mkoani watu si wa mchezo mchezoSimba karudishwa gerezani
Leo kasema yupo maeneo hatar sasa sjui kapita katikati Lugalo au [emoji47][emoji26][emoji36][emoji36]Mkuu unanivunja mbavu [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Sembo kakimbia
Unamaanisha Tanzania Prisons wamenunua mechi......?
au
African Lyon.
Acheni hizo aisee... Wanauwezo wa kuwafunga.
Last seen ya sembo ni 1minute[emoji1] [emoji23]Leo kasema yupo maeneo hatar sasa sjui kapita katikati Lugalo au [emoji47][emoji26][emoji36][emoji36]
Nyota imeng'ara kwel kwa kichapoTrump shabiki wa simba tayari nyota isha ng'ara,hivo mwendo mdundo!!
Wazee wa miamala wanafahamika kijana.....
Kawaulize Kagera sugar
Raha KashaipataNifah kwa leo raha toka kwa prison huwezi pata.
Sasa kama unawajua hao wanao tumia Miamala kushinda mechi...
Kwanini unadhani unaweza kuwa bingwa wa [HASHTAG]#VPL[/HASHTAG] wakati mwenzako ananunua mechi zake.... ¿
Kwanini usiwaombe TFF wakushushe daraja iki ukacheze na wasiotumia Miamala ili uchukue Kombe kirahisi zaidi.... ¿
Aaaah [emoji36][emoji36][emoji16][emoji16][emoji16] watu noma kumbe mmemuona anachungulia ingekua uswazi huyu angekula jiwe la jicho [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji125]Last seen ya sembo ni 1minute[emoji1] [emoji23]
Yupo humu humu[emoji125] [emoji125] [emoji125]
We lost the game, fairly.
Hakuna visingizio hapo, kuna makosa ya wazi kwa upande wa safu ya ulinzi leo (hakuna tight marking). Goal scorer wa Prison hakuwa disturbed kabisa, katikati pale Prison walifanya tibua tibua, final 15mins simba wakapanic. WE LOST IT
Kwa hiyo nyie leo mmeuza kwa Prison na wao waliuza kwa Mbeya City sio?Wazee wa miamala wanafahamika kijana.....
Kawaulize Kagera sugar
Kwa hiyo nyie leo mmeuza kwa Prison na wao waliuza kwa Mbeya City sio?
Bora wewe msema ukweli jamaa wengine wanasema eti baadhi ya wachezaji wa Simba wamununuliwa na Yanga ili Simba ifungweWe lost the game, fairly.
Hakuna visingizio hapo, kuna makosa ya wazi kwa upande wa safu ya ulinzi leo (hakuna tight marking). Goal scorer wa Prison hakuwa disturbed kabisa, katikati pale Prison walifanya tibua tibua, final 15mins simba wakapanic. WE LOST IT
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah nimecheka sana.Leo kasema yupo maeneo hatar sasa sjui kapita katikati Lugalo au [emoji47][emoji26][emoji36][emoji36]