Kutoka Sokoine: Tanzania Prisons yairarua kirahisi Simba SC kwa Mabao 2 kwa 1

Simba karudishwa gerezani

c378e6d59bde42350b279ba57d4e1039.jpg
hahahaa huyu simba anasumbua dar tu huko mkoani watu si wa mchezo mchezo
 
Wazee wa miamala wanafahamika kijana.....
Kawaulize Kagera sugar

Sasa kama unawajua hao wanao tumia Miamala kushinda mechi...

Kwanini unadhani unaweza kuwa bingwa wa [HASHTAG]#VPL[/HASHTAG] wakati mwenzako ananunua mechi zake.... ¿

Kwanini usiwaombe TFF wakushushe daraja iki ukacheze na wasiotumia Miamala ili uchukue Kombe kirahisi zaidi.... ¿
 
Sisi tunataka ushindi wa halali na ubingwa wa halali sio ushindi wa na ubingwa wa laana.....
 
SIPATI PICHA WA KIMATAIFA KESHO IKITOKEA KWA BAHAT MBAYA AKABANWA HUYU SEMBO MTAMKOMA HAKI YANANI.
 
Simba amekutana na wanaume wa mikoani!!
 
We lost the game, fairly.
Hakuna visingizio hapo, kuna makosa ya wazi kwa upande wa safu ya ulinzi leo (hakuna tight marking). Goal scorer wa Prison hakuwa disturbed kabisa, katikati pale Prison walifanya tibua tibua, final 15mins simba wakapanic. WE LOST IT
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu kama jamaa wa Avatar yako!!!
 
We lost the game, fairly.
Hakuna visingizio hapo, kuna makosa ya wazi kwa upande wa safu ya ulinzi leo (hakuna tight marking). Goal scorer wa Prison hakuwa disturbed kabisa, katikati pale Prison walifanya tibua tibua, final 15mins simba wakapanic. WE LOST IT
Bora wewe msema ukweli jamaa wengine wanasema eti baadhi ya wachezaji wa Simba wamununuliwa na Yanga ili Simba ifungwe
 
nasikia sembo anakodoakodoa humu,jamani mkimkamata nileteeni nna ujumbe mzito kwake
 
Leo kasema yupo maeneo hatar sasa sjui kapita katikati Lugalo au [emoji47][emoji26][emoji36][emoji36]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah nimecheka sana.
 
Back
Top Bottom