Kutoka Sokoine: Tanzania Prisons yairarua kirahisi Simba SC kwa Mabao 2 kwa 1

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo wakitaka kuendelea kushinda bora waendelee na usafiri wao mkuu?
Dah watu wabaya sana.
 
kuna kamchezo ukishakaanza kuacha inakua ngumu sana 0712 ya mwenzetu inatumiwa sana
 
Sijui kwanin nakuwa na aman simba anapofungwa,kwakweli roho mbaya hii sielewi hata wapi nimeitoa
Endelea nayo wala sio roho mbaya upo penye njia sahihi kabisa jaribu kuwa mshabiki wa hiyo timu uone kama magonjwa nyemelezi hayata kuandama mpaka utajuta.
 
Nikikujibu itakua nakuonea bure tu mkuu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Hapana mkuu....huu ni utani wa jadi tu....
Tupo hapa kwa ajili ya kufurahishana.....

Kibaya kutukanana....mkuu kuwa huru....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…