Man U wakati wa Ferguson dakika zilikuwa zinnaongezwa hadi 10Poleni sana watani zangu:
Mbona dakika za nyongeza ni 7??[emoji1] [emoji1]
......ya mkosaji, sikitaki mbichi hizi!Kwani ndege kitu gani, mbona Yanga amekuwa akipanda lakini anapigwa vilevile. Iacheni Simba yetu
Ya kweli hayo au?Simba uongozi umeanzisha shida. wachezaji hawajapewa mshahara eti wamefungwa na lyon. waliambiwa leo wakiifunga prison watapewa ndipo baadhi ya wachezaji waligoma. Bahati ligi inasimama la sivyo vipigo vikiendelea. Na raundi ya pili mechi nyingi ugenini. Walianza vizuri ila sasa wasipo kaa sawa itakuwa zahma. Ni hayo tu.
Ndio maana nimechekaaaaaaaa,nilipoona hii avatar.I miss you too........nisamehe kwa Avatar zangu za ajabu ila niko nashangiliaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ni balaaMavugoaaaaal leo kapiga hat trick yake ya kwanza kabisa
Pole sana mtani, yaliyopita si ndwele bado mnayo nafasi nzuri ya kufanya vizuri mtani. Ila dakika 7 za nyongeza??[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23]Man U wakati wa Ferguson dakika zilikuwa zinnaongezwa hadi 10
Jamani nimechekaaaaa,maeneo korofi ya Sembo hunichekesha sana.Sijui nicomment nini,nimepagawa ndugu watazamaji,nikitoka eneo korofi ntacomment
cc.mr eneo korofi(sembo)
mtani wewe unanichokoza ngoja nisepePole sana mtani, yaliyopita si ndwele bado mnayo nafasi nzuri ya kufanya vizuri mtani. Ila dakika 7 za nyongeza??[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23]
Mkuu unanichekesha sana[emoji1] [emoji1][emoji23]Tulikuwa tunawaambia ligi bado mbichi hii jamani wanajibu kwa simba hii tupewe Ubingwa wetu tu kwanza tunaanzaje kupoteza mechi mara ooh simba kama real Madrid hatujafungwa basi ilikuwa majigambo juu ya majigambo.
Maiti ya kiswahili huwa haikosi sababu ndugu yangu utaambiwa yule bibi jirani kuna siku alimuomba chumvi akamwambia sina ndio atakuwa kamroga jambo la muhimu haya mapumziko mjipange vinginevyo mtaendelea kuchezea kichapo.Simba uongozi umeanzisha shida. wachezaji hawajapewa mshahara eti wamefungwa na lyon. waliambiwa leo wakiifunga prison watapewa ndipo baadhi ya wachezaji waligoma. Bahati ligi inasimama la sivyo vipigo vikiendelea. Na raundi ya pili mechi nyingi ugenini. Walianza vizuri ila sasa wasipo kaa sawa itakuwa zahma. Ni hayo tu.
Ila ujue nini Nifah...Simba wanapoteza mechi zao kwa sababu ya 'hangover' ya kupanda Ndege....idawa nakupendeaga hapa tu aiseeee
idawa nakupendeaga hapa tu aiseeee
Wana mbwembwe hao mara tanapa wanamuomba waziri aingilie kati mnyama anafanya madhara mikoa ya kanda ya ziwa basi alakuli hali majisifu yasio na kifani sasa wanasema wachezaji hawajalipwa mishahara ya mwezi wa kumi ndo maiti ya kiswahili tena haikosi sababu.Mkuu unanichekesha sana[emoji1] [emoji1][emoji23]
Mpira dakika 90 ligi bado nyeupe
Mtani ungekuwa karibu ningekununulia japo maji au soda ushushe pumzi[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]mtani wewe unanichokoza ngoja nisepe