Kutoka Sokoine: Tanzania Prisons yairarua kirahisi Simba SC kwa Mabao 2 kwa 1

Kutoka Sokoine: Tanzania Prisons yairarua kirahisi Simba SC kwa Mabao 2 kwa 1

Simba uongozi umeanzisha shida. wachezaji hawajapewa mshahara eti wamefungwa na lyon. waliambiwa leo wakiifunga prison watapewa ndipo baadhi ya wachezaji waligoma. Bahati ligi inasimama la sivyo vipigo vikiendelea. Na raundi ya pili mechi nyingi ugenini. Walianza vizuri ila sasa wasipo kaa sawa itakuwa zahma. Ni hayo tu.
Ya kweli hayo au?
 
I miss you too........nisamehe kwa Avatar zangu za ajabu ila niko nashangiliaaaa
Ndio maana nimechekaaaaaaaa,nilipoona hii avatar.
Sijui unazipataga wapi aiseeee.
Kama nakuona unavyoshangilia [emoji12]
 
Niliwahi sema...Mikia FC wawe na akiba ya maneno..mara mwendokasi mara haina breki yako wapi sasa?
 
Thimba isiyofungika [emoji16] [emoji16] [emoji16].. Wapiga pesa kibao, ndo mpate ushindi nyie! Mmerogwa?
 
Tulikuwa tunawaambia ligi bado mbichi hii jamani wanajibu kwa simba hii tupewe Ubingwa wetu tu kwanza tunaanzaje kupoteza mechi mara ooh simba kama real Madrid hatujafungwa basi ilikuwa majigambo juu ya majigambo.
Mkuu unanichekesha sana[emoji1] [emoji1][emoji23]
Mpira dakika 90 ligi bado nyeupe
 
Simba uongozi umeanzisha shida. wachezaji hawajapewa mshahara eti wamefungwa na lyon. waliambiwa leo wakiifunga prison watapewa ndipo baadhi ya wachezaji waligoma. Bahati ligi inasimama la sivyo vipigo vikiendelea. Na raundi ya pili mechi nyingi ugenini. Walianza vizuri ila sasa wasipo kaa sawa itakuwa zahma. Ni hayo tu.
Maiti ya kiswahili huwa haikosi sababu ndugu yangu utaambiwa yule bibi jirani kuna siku alimuomba chumvi akamwambia sina ndio atakuwa kamroga jambo la muhimu haya mapumziko mjipange vinginevyo mtaendelea kuchezea kichapo.
 
idawa nakupendeaga hapa tu aiseeee
Ila ujue nini Nifah...Simba wanapoteza mechi zao kwa sababu ya 'hangover' ya kupanda Ndege....

Simba na kupanda ndege wapi na wapi, wao zao ni Yutong tu...Viherehere vyao vya kuwaiga Yanga (Wa Kimataifa) kupanda ndege ndo vinawaponza mpaka wanafungwa, maana wachezaji badala ya kuwaza mechi wanawaza safari ya kurudi Dar kwa ndege....Losers
 
idawa nakupendeaga hapa tu aiseeee
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_upload_2016-11-7_15-20-1.png
 
Mkuu unanichekesha sana[emoji1] [emoji1][emoji23]
Mpira dakika 90 ligi bado nyeupe
Wana mbwembwe hao mara tanapa wanamuomba waziri aingilie kati mnyama anafanya madhara mikoa ya kanda ya ziwa basi alakuli hali majisifu yasio na kifani sasa wanasema wachezaji hawajalipwa mishahara ya mwezi wa kumi ndo maiti ya kiswahili tena haikosi sababu.
 
Ukimbiwa ligi ni mbichi usichonge sana, nawe ukafanya vile utapigwa tu. Na mimi nasema wapigwe tu maana hamna namna nyingine.
 
Back
Top Bottom