Kutoka St. Peter's Church Jijini Dar es Salaam

Alitaka aje bahati mbaya akajiskia tena vibaya akarudi mapumziko kanaa dokta alivyomshauri.
Naomba niishie hapo tafadhali
 
Duniani Kuna Mambo!
 
Mmevaa barakoa za ktengenezwa?
 
Juma pili ya mitende ama?
 
Yule kiongozi anaepanda altare n kuinajisi alikuepo leo?
 
Maisha yako kasi sana aisee, kwamba zilianza kama tetesi saivi jiwe liko kwenye kibanda cha mabati limefunikwa na nyasi kavu..maisha ni temporary na binadamu hatuna maana
 
Maisha yako kasi sana aisee, kwamba zilianza kama tetesi saivi jiwe liko kwenye kibanda cha mabati limefunikwa na nyasi kavu..maisha ni temporary na binadamu hatuna maana
Life is too short,ya nini kujiumiza moyo kwa kubeba roho mbaya,visasi,jazba,chuki,choyo na hasira zisizo na maana wakati tunajua kabisa mioyo yetu inasukumwa na umeme.
 
Moja Kati ya nyuzi zilizotuweka attention kusikia chochote juu ya kiongozi wa malaika kutwaliwa na malaika wa kiza
Rest in Hell jiwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…