Kutoka St. Peter's Church Jijini Dar es Salaam

Kutoka St. Peter's Church Jijini Dar es Salaam

Ni kweli. Inawezekana anapenda kuwa-suprise watu kwa njia kama hizi. Nakumbuka hata kile kisanga cha watu kusema kafa 2019, alipojitokeza Ikulu na kutembeza bakuli la vitafunwa kwa wageni, alikuwa anafurahia sana ile hali. Alikuwa anapita kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine, kwa unyenyekevu na alinyeonyesha ku-enjoy kwa kila hali.
Anapenda attention na mbwembwe[emoji23]..

Kuna mdau twitter anadai kwamba anataka kujitokeza ile sikukuu ya pasaka ili aonekane amefufuka kama Yesu[emoji23][emoji23]
 
Kanisa leo linaazimisha Dominika ya 4 tangu kuanza Kwaresma ambapo kimsingi siku hii huaminika ni kama siku ya furaha huku tufukia mwishoni mwisho mwa safari ya siku 40 za maombolezo ya kifo cha Bwana wetu Yesu Kristu.

Waumini ni wengi sana na ibada inaendelea.
Mkuu..huyu chukizo la wananchi hajafika hapo??
 
Acha masihala siku hizi kanisani wanachati JF, ngoja niendelee kuskiliza TBC watuletee hotuba ya moja kwa moja ya mpendwa wetu
 
Hebu tuacheni utoto, binadamu ni binadamu. Wote tunaishi kwa uzima na magonjwa, kuwaita baadhi ya binadamu "Vyuma" ni kukufuru.
utoto gani tena kwani mbaka akajitangaza kuwa anaweza kua kiongozi wa malaika tulimtuma sisi?


Usipanic kiongozi wa malaika ni immortal hua hakufi hata akichomwa nchale!
 
Back
Top Bottom