Kutoka St. Peter's Church Jijini Dar es Salaam

Roma ikesema imesema. Huwezi kubishana na Askofu aliyejitoa na kuacha ya Dunia ukashinda. Viongozi wa kiroho huwa wana sala ya mwisho tofauti na viongozi wa dini.
 
Huyu alipata laana siku ile alivowambia masista wamevaa barakoa na kuwananga ,inaelekea walimsalia Novena.Huwezi kwenda kanisani alaf ukawasengenya watumish wa Mungu ni laana
Hahaha,
 
kuna kaukweli kwa mbali
 
Kabisa,tusubirie..

Wanaofahamu yote haya ni DPC Msigwa,mpambe wake,Hassan Abbasi,Makamu,PM na usalama wake/wasaidizi.

Hizi ndizo zinaitwa siri za Taifa
Hakika hao hawajui exactly wapi mzee yupo, Kuna inner circle yake ambao sio Public figure wala hawawezi kuonekana popote, Hao uliowataja ni Wapenda publicity afu kwenye Mifumo ukiona mtu yupo front jua hafai kuaminika those you mentioned are politicians Hawana Vifuaq
 
Roma ikesema imesema. Huwezi kubishana na Askofu aliyejitoa na kuacha ya Dunia ukashinda. Viongozi wa kiroho huwa wana sala ya mwisho tofauti na viongozi wa dini.
Askofu ni nani mbele ya chaguo la Mungu?
Hata bibilia inasema mamlaka usiidharau maana inatoka kwa Mungu.
 
Mwamba yawezekana hajaumia hata ukucha, anawacheki tu na kusema hiiiiiiii [emoji16]

Everyday is Saturday................................[emoji41]
Siku zote hizo asitokee kwenye kamera
 
Everything is Good at End.

Wanyantuzu hao hawakukosea kabisa.

😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Hakika hao hawajui exactly wapi mzee yupo, Kuna inner circle yake ambao sio Public figure wala hawawezi kuonekana popote, Hao uliowataja ni Wapenda publicity afu kwenye Mifumo ukiona mtu yupo front jua hafai kuaminika those you mentioned are politicians Hawana Vifuaq
Oooh ok Mkuu..Basi yupo eneo maalumu sana iseee

Kumbe hata humu mitandaoni watu watakuwa wanabwabwaja tuu hawafahamu lolote
 
Back
Top Bottom