Kutoka St. Peter's Church Jijini Dar es Salaam

Kutoka St. Peter's Church Jijini Dar es Salaam

Wallah nimecheka kama chizi,ila wabongo tuna mambo,

Vipi kiongozi wa malaika hajashuka kutoka mbinguni kuwapa ubarikio hapo?


Nadanganya ndugu zangu!
Hebu tuacheni utoto, binadamu ni binadamu. Wote tunaishi kwa uzima na magonjwa, kuwaita baadhi ya binadamu "Vyuma" ni kukufuru.
 
Huyu alipata laana siku ile alivowambia masista wamevaa barakoa na kuwananga ,inaelekea walimsalia Novena.Huwezi kwenda kanisani alaf ukawasengenya watumish wa Mungu ni laana
Kwa hiyo yupo au hayupo? Swali la msingi hili...
 
Oxygen saturation yake sio mbaya sana ina range 95 hadi 75 kwa siku mbili hizi jana ilikua 100 haikudumu kwa masaa 5 ikashuka tena ndugu zangu..
 
Mleta mada watu ni wengi sana hapo kanisani mtafuteni tu taratibu.mtamuona kajibanza sehemu flani
 
Back
Top Bottom