???!Wanashinda mapema tu
Duh, mie yanga ila nawaza sana, Toto akishuka mbao nae akishuka mwakani hatuioni yanga kirumbaWapi Dady Balantanda pacha idawa balibabambonahi Bantu lady na Wanayanga woooooote njooni tulisakate rhumba hahaha
OyooooGoalllllllllllllllllll Amisi Tambwe anaipatia Yanga goli hapa.
Yanga 1-0.
Ubingwa uleeeeeee
Hapana mkuu,hata simjui [emoji85]Umekuwa Jongo! Hivi unamkumbuka huyo mtangazaji?
Hahaha yamekuwa haya tena? Duh!Si vizuri baba kumuaibisha mtoto wake...so wana Mwanza mwakani ndio basi tena duh! Kweli ukizoea mbeleko una kazi sana dah
hah hah hatareee sanaHahaha yamekuwa haya tena? Duh!
Hujakimbilia toi kweli? Bila shaka tumbo limevurugika [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yanga bingwa huku mkuu,tunaongoza 1-0.Tupeni matokeo wajameni, Niko kwenye Marnie korofi na nertwork korofi..... Moyo hautulii...... Nifah reporter wangu... Ajeeee
Jamani ram wangu pole sana. Hakuna namna,ubingwa muhimu [emoji17]Duh, mie yanga ila nawaza sana, Toto akishuka mbao nae akishuka mwakani hatuioni yanga kirumba
Klabu ya Yanga leo itavaana na Klabu ya Toto Africans ya jijini Mwanza kwenye uwanja wa Taifa, mchezo ambao endapo Yanga wakishinda watatangazwa ubingwa huku wanajangwani hao wakimkosa kiungo wao mshambuliaji Simon Msuva baada ya kupata majeruhi wikiendi iliyopita dhidi ya Mbeya City.
Kikosi cha Yanga
1. Beno Kakolanya
2. Hassan Kessy
3. Haji Mwinyi
4. Kelvin Yondani
5. Vincent Bossou
6. Thaban Kamusoko
7. Juma Mahadhi.
8. Haruna Niyonzima
9. Amisi Tambwe
10. Obrey Chirwa
11. Geofrey Mwashuiya
Akiba
Deogratius Munishi
Juma Abdul
Nadir Haroub
Matheo Antony
Deusi Kaseke
Emmanuel Martin
Justine Zulu.
=======
Atamsaidia ili amfunge mtibwa na yanga amfunge mbaoHapo sasa.....mbona toto humpa Yanga!!!.....Yanga nae ampe toto!!!
Hongereni sana wana Yanga kwa kukaribia kutangaza ubingwaFull Tiiiiiiiiiiiiiiiimeeeeeeeee
Yanga wanaondoka na ushindi katika mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa dhidi ya Toto Africa.
Hapa tunatangaza ubingwa kabisa,hatuna mashaka tena.
Poleni Toto,mnatia huruma sana ila hakuna namna....UBINGWA KWANZA.
Hongereni Wanayanga wote
Cheeeeeeeerrrrssss [emoji485]
Asante mkuu,pole sana mtani wangu.Hongereni sana wana Yanga kwa kukaribia kutangaza ubingwa
Cheeersssss!Full Tiiiiiiiiiiiiiiiimeeeeeeeee
Yanga wanaondoka na ushindi wa goli 1-0 katika mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa dhidi ya Toto Africa.
Shukraan za dhati kwake mfungaji wa goli pekee lililotupa jeuri ya kutangaza ubingwa Amis Tambwe.
Hapa tunatangaza ubingwa kabisa,hatuna mashaka tena.
Poleni Toto,mnatia huruma sana ila hakuna namna....UBINGWA KWANZA.
Hongereni Wanayanga wote
Cheeeeeeeerrrrssss [emoji485]
Stay blessed...Full Tiiiiiiiiiiiiiiiimeeeeeeeee
Yanga wanaondoka na ushindi wa goli 1-0 katika mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa dhidi ya Toto Africa.
Shukraan za dhati kwake mfungaji wa goli pekee lililotupa jeuri ya kutangaza ubingwa Amis Tambwe.
Hapa tunatangaza ubingwa kabisa,hatuna mashaka tena.
Poleni Toto,mnatia huruma sana ila hakuna namna....UBINGWA KWANZA.
Hongereni Wanayanga wote
Cheeeeeeeerrrrssss [emoji485]