Kutoka Taifa: Yanga Vs Toto African, vita ya ubingwa ama kushuka daraja!

Kutoka Taifa: Yanga Vs Toto African, vita ya ubingwa ama kushuka daraja!

Tupeni matokeo wajameni, Niko kwenye Marnie korofi na nertwork korofi..... Moyo hautulii...... Nifah reporter wangu... Ajeeee
 
Si vizuri baba kumuaibisha mtoto wake...so wana Mwanza mwakani ndio basi tena duh! Kweli ukizoea mbeleko una kazi sana dah
Hahaha yamekuwa haya tena? Duh!
Hujakimbilia toi kweli? Bila shaka tumbo limevurugika [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duh, mie yanga ila nawaza sana, Toto akishuka mbao nae akishuka mwakani hatuioni yanga kirumba
Jamani ram wangu pole sana. Hakuna namna,ubingwa muhimu [emoji17]
 
Hongereni sana yanga kwa kututolea hilo toto lisilo na adabu kabisa. Mkienda Mwanza kalishusheni na lile li ubao maana timu za kukamia timu moja ya ligi si timu ni karaha tu.
 
Haruna Niyonzima anatoka hapa baada ya kupata majeraha. Anaingia Justin Zulu.
Asante Niyonzima,umefanya kazi kubwa sana hadi sasa tunapoelekea kuchukua ubingwa...Wanayanga tunasema ASANTE NIYONZIMA.
 
Klabu ya Yanga leo itavaana na Klabu ya Toto Africans ya jijini Mwanza kwenye uwanja wa Taifa, mchezo ambao endapo Yanga wakishinda watatangazwa ubingwa huku wanajangwani hao wakimkosa kiungo wao mshambuliaji Simon Msuva baada ya kupata majeruhi wikiendi iliyopita dhidi ya Mbeya City.

Kikosi cha Yanga
1. Beno Kakolanya
2. Hassan Kessy
3. Haji Mwinyi
4. Kelvin Yondani
5. Vincent Bossou
6. Thaban Kamusoko
7. Juma Mahadhi.
8. Haruna Niyonzima
9. Amisi Tambwe
10. Obrey Chirwa
11. Geofrey Mwashuiya

Akiba

Deogratius Munishi
Juma Abdul
Nadir Haroub
Matheo Antony
Deusi Kaseke
Emmanuel Martin
Justine Zulu.
=======
IMG-20170516-WA0031.jpg
IMG-20170516-WA0031.jpg
 
Full Tiiiiiiiiiiiiiiiimeeeeeeeee
Yanga wanaondoka na ushindi wa goli 1-0 katika mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa dhidi ya Toto Africa.
Shukraan za dhati kwake mfungaji wa goli pekee lililotupa jeuri ya kutangaza ubingwa Amis Tambwe.
Hapa tunatangaza ubingwa kabisa,hatuna mashaka tena.

Poleni Toto,mnatia huruma sana ila hakuna namna....UBINGWA KWANZA.
Hongereni Wanayanga wote
Cheeeeeeeerrrrssss [emoji485]
 
Full Tiiiiiiiiiiiiiiiimeeeeeeeee
Yanga wanaondoka na ushindi katika mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa dhidi ya Toto Africa.
Hapa tunatangaza ubingwa kabisa,hatuna mashaka tena.

Poleni Toto,mnatia huruma sana ila hakuna namna....UBINGWA KWANZA.
Hongereni Wanayanga wote
Cheeeeeeeerrrrssss [emoji485]
Hongereni sana wana Yanga kwa kukaribia kutangaza ubingwa
 
Full Tiiiiiiiiiiiiiiiimeeeeeeeee
Yanga wanaondoka na ushindi wa goli 1-0 katika mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa dhidi ya Toto Africa.
Shukraan za dhati kwake mfungaji wa goli pekee lililotupa jeuri ya kutangaza ubingwa Amis Tambwe.
Hapa tunatangaza ubingwa kabisa,hatuna mashaka tena.

Poleni Toto,mnatia huruma sana ila hakuna namna....UBINGWA KWANZA.
Hongereni Wanayanga wote
Cheeeeeeeerrrrssss [emoji485]
Cheeersssss!
 
Stay blessed...
 
Back
Top Bottom