Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatimaye...hahaha asante sana mtani.Hongereni.
Usijali my nakuja [emoji2] [emoji2] [emoji2]Karibu emmyta,tuserebuke sie [emoji8]
Poa mkuu,karibu tusherekeeMimi wine mkuu,bia situmii [emoji39]
Nini tena jamani? [emoji134]Nifah jamani
Wa mwanza tuko kwenye hati hati ya kuiona yanga mwakaniHatimaye...hahaha asante sana mtani.
Weka mbali na watotoOyoooo
Yanga ni habari ingine kabisaa
Mikia fc ndo waliwapump usishangae mkuuIla hawa Toto Africans sijui wamepata wapi nguvu hii,maana baada ya mpira wanaonekana wana uchungu mno.Lazima kuna mtu alikuwa nyuma yao aisee
Nyingine hiyooooHahahaaaaa hivi mnapataga wapi hizi picha jamani?
Ni sheedaW
Weka mbali na watoto
Imebidi iwe hivyo ili kuiadhibu Mbao kwa kuwataka watuinamie na kutupigia makofi siku ya kukutana nao (Guard of Honour). Hiyo ni adabu tosha kwa kijana aliyedokoa mboga sahanini kwa mzee. Lakini adabu zaidi ataipata ndani ya kiwanja kwa kipigo ambacho huenda kitamnusuru mdogo wetu na kushuka daraja.Sijapenda mtoto wetu kushuka daraja!
Mimi nimewashangaa sana,hata na mechi na Azam hawakukaza namna hiiMkuu ila si kwa leo maana walikaza matak kweli leo nadhan wanahuzunika kukosa fungu walilokuwa wameahidiwa na mikia kupitia sportpesa kwakweli sijawahi kuwaona toto wakikomalia game kama hii ya leo ila kushuka daraja nako ni kubaya kwan rupurupu za vpl hupat nk.
Itabidi tuandae sherehe na sare za ushindi siku ya mechi na mbao..Hongera kwa ushindi mwanangu..Hongera kwa ubingwaWapi Dady Balantanda pacha idawa balibabambonahi Bantu lady na Wanayanga woooooote njooni tulisakate rhumba hahaha
Tatizo la toto iko tayari kushuka daraja kuliko kuidunga yanga!Wa mwanza tuko kwenye hati hati ya kuiona yanga mwakani