Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

Haya mambo angeayafanya ata robo huko Bumbuli, leo Bumbuli ingekuwa Johannesburg ndogo.
 
"tujenge jamii ambayo wala rushwa wote watajiona kama vile wanatembea uchi"JM god bless yew bro on what u do
 
Nasikiliza hotuba ya mtia nia J.Makamba kupitia Redio Clauds FM,mimi sio mshabiki wa huyu mtu lakini nimekkerwa na redio hii kukatisha matangazo kila Makamba anapozungumzia jinsi atakavyoshughulikia wala rushwa na wahujumu uchumi,mfano walikatisha matangazo alipofika sehemu ya kuifumua na kuipa meno TAKUKURU halafu wakarudisha alipomaliza maelezo hayo,pia alipofika sehemu ya kuwaomba wananchi kuwapa walarushwa ADHABU ZA KIJAMII kama kususia sherehe zao zilizogharimu mamilioni ya shilingi walikatisha,kwa wenye ufahamu wanatambua kama redio hii wako upande gani kati ya watia nia hata kama wanafanya biashara ya matangazo.
 
Hii speech imejaa uongo mtupu,January acha kududanganya kabisa,Yaani Tanzania iwe kama USA kwa miaka Mitano,jamani jamani acha kutudanganya
 
Kumbe kuna samaki wengi wanavuliwa kwenye ukanda wetu wa bahari ya hindii???
 
ukweli ni kuwa Kuna akili Kubwa sana kwa CCM kutumia mbinu ya watu wengi kujitokeza kugombea.....

Nikiwaza kwa mbali naona Kama ni mkakati wa kupunguza kiwango cha mpasuko na mgawanyiko wa chama iwapo kungetokea wagombea wachache wenye nguvu zinazoshabihiana....kwa hali ilivyo sasa, mgawanyo ni mkubwa kiasi influence ya dhahiri ya mtu mmoja kwa wengine ni ndogo na hivyo mwisho wa siku kiwango cha mpasuko ndani ya chama kitakuwa ni kidogo ikiwa watu au mtu fulani jina lake "litachinjiwa" baharini

Ninaouona kama mkakati wa hali ya juu na wakati fulani nawaza (japo sidhani kama inawezekana) wengine wanaandaliwa agenda za kuongea na huenda hata kulipiwa form......

mwisho wa siku hakuna atakae tekeleza anayoyasema bali Ilani ya Chama
 
Kikwete sijui anajisikiaje akisikia yanayoongelewa na watangaza nia😕

Ndiyo ujue kuwa hata unaofanya nao kazi wanaitakata hiyo nafasi yako....
Hivyo hawakupi maujanja..
wanakutegea ushindwe halafu wao waje na kujifanya wanatoa soln
 
"@TanzaniaMpya: Tutaweka adhabu kubwa pale tutakapogundua unatakiwa kulipa kodi na hujalipa kodi. #TanzaniaMpya "
 
Namwona anamkumbatia kwa mahaba yule kaka poa maarufu anaemtumia kutukana wapinzani wake twitter Salim aka idiot cony.

huyu bwana nilisoma nae udsm, mjinga mjinga na mpenda sifa flani.
 
Chadema yupo mgombea urais wa kudumu Dr.Slaa hamna mwingine.

10485890_552547448218602_4150151554201717214_n.jpg
 
Emma anasoma mahali mwangalie vizuri..kuna telemproter kwa mbele yake...ila duuu anaongea ndoto tupu..sijui meli,kila wila kujrnga chuo,mara satelite....
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini anasema NDANI YA MIAKA 10 YA UONGOZI WANGU???
anatumia katiba ipi??
 
Emma anasoma mahali mwangalie vizuri..kuna telemproter kwa mbele yake...ila duuu anaongea ndoto tupu..sijui meli,kila wila kujrnga chuo,mara satelite....

Kwenye technology February yuko vizuri sana
 
Last edited by a moderator:
kila kitabu na aya zake .......... kikwete ilikuwa ari mpya kasi mpya na nguvu mpya bt kwa sasa ni TANZANIA MPYA TUTAIJENGA SOTE
Usitake nikutukane bure.Hakuna kipya CCM,huyo Makamba ni sehemu ya Urais wa KIKWETE.Yeye ni Waziri.Kufeli kwa kikwete ni kufeli kwake pia.Aache kutulaghai.
 
Back
Top Bottom