Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

hili ni kundi la wanaotaka kufanya uongozi kama mali ya familia....bado saaaana...ndio kwanza anabalehe kisiasa
 
Ashindwe yeye tu. Hapa tumejiandaa kusikiliza madini tu, asituletee hbr za arusha au lindi. Tunataka tangible points.
 
Namwona anamkumbatia kwa mahaba yule kaka poa maarufu anaemtumia kutukana wapinzani wake twitter Salim aka idiot cony.
 
Mie hapo nataka kumwona tu mzee makamba
Aongee kile kisambaa chake
 
Mbona bado watafika 30,sio mbaya sana inaonyesha chama kimefungua milango kwa wanachama wake.
 
Ccm bana hela ya maendeleo hakuna hazina haina lakini ukitazama viongozi wa umma watumia pesa nyingi kutangaza nia, wamepata wapi haya mamilioni aisee.. Ccm ni Kansa katka taifa letu
 
ayaaaa star tv na star tv wamekata lakini channel ten wako hewani..mmm anasema wananchi hawana imani na serikali ya kikwete ambayo yeye ni waziri
 
Sikutegemea kama kijana anaejifanya smart kama January atasoma speech kwa screen za pembeni.
 
Yuko mbele yetu kuelezea namna atakavyotatua matatizo. Bila kutuelezea yamekujaje kwanza huwatendei haki watanzania.
 
Back
Top Bottom