Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

Kipaumbele cha huduma bora za jamii shule, afya. Maji na mawasiliano.
 
Hawa watu wa ccm ni waajabu sana
Uongo kwao ni ibada
 
Anajitahidi kuwa straight kwenye hoja zake.
Baada ya cag kumpa report siku hiyohiyo viongozi tajwa wanasimamishwa.
 
Kwakweli anatiririka vizuri,hili jembe ndilo linatufaa kwa sasa kutuondoa kwenye lindi la umaskini.
 
Huyu dogo kina Kusaga wanamdanganya watampeleka ikulu kumlipa fadhila anapoteza mahela yake bure.
 
Naanza kuamini kwamba Jk lilikuwa chaguo la Mungu ili tuondokane na dhulma ya CCM tuliyoipata kwa miaka mingi
 
Anasema ataunda Baraza la Uchumi la Taifa litakalokuwa na magwiji wa uchumi nchini.
 
wewe januari pamoja na baba yako yusuph makamba hamfai kabisa hamstahili kusimama mbele ya watanzania kujinadi eti mnafaa kuongoza nchi
 
Huyu ndio kijana tumtakae
Ni
Msomi
Mzoefu
Well informed
Still learnung new things
He accept challenges
Millenial
New generation of young leaders
New vision
Msikivu
Ana heshma kwa rika zote
Anatufaa kabisa
He is a perfect candidates
 
Back
Top Bottom